SGR connection between Mwanza and Kampala on the cards

SGR connection between Mwanza and Kampala on the cards

kama congo wakiingia sidhani kama wanaweza kuikataa sgr ya tanzania coz makinikia yao si itakuwa inakuja kusanifiwa dsm
Itakuwa na manufaa sana kwao! Tunawakaribisha ni ndugu zetu hawa kuna wakati bandari yetu ilikuwa ikijaa mizigo yao. Nakumbuka gari za Merzalio za mtoto wa Mobutu. Convoy za.magari hata mia yanakwenda Congo, Zambia Malawi Zimbabwe. Tulipolala basi hatujaamka tena
 
kwaiyo mr chato katuamsha sasa alafu nimegundua tz tuna soko kubwa nje ya bongo tatizo tuna production ndogo
 
kwaiyo mr chato katuamsha sasa alafu nimegundua tz tuna soko kubwa nje ya bongo tatizo tuna production ndogo
Tungekuwa na viwanda vya kutosha tungepiga bao sana, tuna nchi kibao za kuuza bidhaa. Mr. Chato ana plan yake na target hataki mtu amzuie ndo maana hakuna cha sijui bungeni yeye akiona pesa ipo basi tangaza tender mradi ufanyike. Ndicho ambacho watu wengi tulililia wakati wa JK lkn sasa kinafanyika tunabeza. Wacha afanye Sababu ujasiri anao akiondoka yeye watakuja tena wapigaji tutaanza tena milolongo mireeefu bungeni.
 
Wale wakata mauno wa Northern mbona siwaoni? 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom