SGR construction enters final stages in Nakuru.

Ngoja nimtag Mwigulu Nchemba, kamwambieni kwamba kuna picha zingine mpya za SGR ya Kenya. Aje tutamuazima na hizi pia, akazitumie kumsifia Jiwe na kuwahadaa makada wa chama kwamba SGR ya Tz inakamilika wiki ijayo.
Yani 3 out of 4 picture amebandika ni za SGR Kenya... Duh! Ingekua ni mkenya amefanya hivi si tungefukuzwa hapa jf ...this is too much
 
Hahahaaaa...Ati itakamilika wiki ijayo??...Danganyika ya Viwonder
Kisha anajiita Dr. !!! Huyu lazima aliiba na ku copy paste thesis/dissertation yake manake hajui kufanya research yoyote, hizo picha lazima alizipata mitandaoni na hakujisumbua kuhakikisha ni za SGR Tz
 
Huyu ni yule anafanya plagiarism Hadi jina la mwenye content
 
Yani 3 out of 4 picture amebandika ni za SGR Kenya... Duh! Ingekua ni mkenya amefanya hivi si tungefukuzwa hapa jf ...this is too much

This one should apologize for using Kenya's SGR pictures for his own consumption.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…