SGR construction enters final stages in Nakuru.

Kamuulize baba. Alikuja kutembea DAR kumsalimu JPM. mulize kasi ya Ujenzi, gharama, uwezo, umbali. Sio mchezo. Na Ni yenu. Sio yenyu

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha! 😀 Eti kumsalimia JPM. Raila alikuja Tz kwenye ziara rasmi kama Special Envoy(wa miundo mbinu na maendeleo) wa Umoja wa Afrika yaani A.U. Wewe ulijua ni mambo ya siasa za upinzani Kenya? [emoji1]
 
ukimuona mkikuyu akili timamu ameanza kuropoka na kuachilia mbali masuala ya kuhusu economy katika mada...basi jua maji yamemfika shingoni..so ndio anatafuta pa kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…