Ujenzi unaendelea, siumeona hiyo station ya Mai Mahiu, au umedhani ni render? Uzinduzi ulikuwa ile siku ya kwanza ujenzi wa SGR ulipoanza. Wabeba mkasi wa kuzindua zindua mradi mmoja zaidi ya mara kumi a.k.a washamba hawapo Kenya.
Acha pang'ang'a mob! Mimi nauliza kuizindua kwa ajili ya matumiziUjenzi unaendelea, siumeona hiyo station ya Mai Mahiu, au umedhani ni render? Uzinduzi ulikuwa ile siku ya kwanza ujenzi wa SGR ulipoanza. Wabeba mkasi wa kuzindua zindua mradi mmoja zaidi ya mara kumi Kenya huwa wanachukuliwa kama washamba.
Hata kwa matumizi ni hivyo hivyo treni tayari zinabeba abiria na mizigo. [emoji1] Aisee nyinyi raia wa nchi ya zindua zindua na kukata utepe huwa mna matatizo. [emoji38]Acha pang'ang'a mob! Mimi nauliza kuizindua kwa ajili ya matumizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sema tu hujui, mtu upo Kajiado umepewa tenda ya kuchunga ng'ombe wa kijiji utajuaje mambo kama haya.. rudisha ng'ombe za wenyewe zikalale sasa hivi [emoji1]Hata kwa matumizi ni hivyo hivyo treni tayari zinabeba abiria na mizigo. [emoji1] Aisee nyinyi raia wa nchi ya zindua zindua na kukata utepe huwa mna matatizo. [emoji38]
Boss, am in Addis Ababa right this minute.Wewe sema tu hujui, mtu upo Kajiado umepewa tenda ya kuchunga ng'ombe wa kijiji utajuaje mambo kama haya.. rudisha ng'ombe za wenyewe zikalale sasa hivi [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Good, ile tenda imekutoa so ume delegate majukumu. Anzisha uzi utupe moja na mbili za Addis, uweke na picha zakutosha.Boss, am in Addis Ababa right this minute.
Nimezuru museum ya Red Terror Martyrs nikipata muda ntakueleza madhara niliyojionea, ya ukomunisti/ujamaa.Good, ile tenda imekutoa so ume delegate majukumu. Anzisha uzi utupe moja na mbili za Addis, uweke na picha zakutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuma na mapicha maneno matupu ni kama debe tupu! Inakua kelele tuNimezuru museum ya Red Terror Martyrs nikipata muda ntakueleza madhara niliyojionea, ya ukomunisti/ujamaa.
Haina presha boss, hivyo hivyo tu turudi kwenye mada ya uzi huu.Tuma na mapicha maneno matupu ni kama debe tupu! Inakua kelele tu
Sent using Jamii Forums mobile app