SGR Construction in Tanzania - UPDATES

Repetition every other day and no work to show for it??
 
Yetu umeisikia 2009, 2017 phase 1 imekamilika, 2018 unaonyeshwa picha za phase 2.

Yenu tumeisikia 2009, 2018 bado munalaunch. Hii ugonjwa inaitaji sangoma sasa.

View attachment 723351
Hii Magufuli ali ikataa, bila hivyo ingekua ime isha yote. Tena siyo vipande vipande kama yenu ila ingekua inferior kama yenu. Hii superior modern electric rail mchakato umeanza 2017
 
Nasikia terminal 3 itaanza kufanya kazi july mwaka huu.Nimeona YouTube Waziri mkuu akikagua.

Mwenye picha aweke tafadhari
 
We almost 50% of the work.

We should connect with Uganda and the Isaka-Kigali section should connect with Burundi and Eastern Congo.
 
Yetu umeisikia 2009, 2017 phase 1 imekamilika, 2018 unaonyeshwa picha za phase 2.

Yenu tumeisikia 2009, 2018 bado munalaunch. Hii ugonjwa inaitaji sangoma sasa.

View attachment 723351
yenu ipi?..hiyo mikebe ya kuhifadhia githeri??sisi hiyo hatuna shida nayo tushakuwa nayo miaka mingi iliyopita hadi leo tunaitumia!!sasa hivi ni electric ndo habari ya mjini(talk of the town)
 
There's a difference between SGR and train. Please desist from responding to my posts. I have low tolerance for stupidity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…