Yani inamaanisha hawa waturuki walizunguka Tanzania nzima na wakakosa kampuni ya kutengeneza kokoto kabisaa hadi ikawalazimu kuchimba quarry na kutengeneza kokoto wenyewe (inapunguza garama ya ujenzi lakini inakosesha opportunities kwa kampuni za ndani ambazo zinaweza kufanya hio kazi hata kama hawana mashini kubwa kubwa, wangepewa contract miezi sita kabla ujenzi uanze wangekua wametengeneza sub-ballast ya kutosha hadi sasa)
ingia hapa ujionee mashini tofati tofauti za kutengeneza ballast zinazouzwa hapa Kenya...
Hio ni kazi za kampuni za SMEs mgewapatia angalau nao wapate mlo ... three stage ballast machine ni kitu cha kawaida, kama meter guage railway za East Africa zilijengwa 1901! na mpaka leo bado sub-ballast inashikilia reli..kumbuka wakati huo ilikua hakuna hata mashini,
in kenya SGR hio ilikua kazi ya SMEs zinazopatikana kwa kila section ambayo SGR inapatikana
Small firms ride on standard gauge rail to rake in millions
His firm Headstream Contractors Ltd, an SME, has been sub-contracted to conduct drainage and slop protection for Sh24.9 million, Herring Bourne skeleton protection at Sh25.5 million and stone pitching at Sh18 million.
Mr Ndeti’s firm is one of the several SMEs that bagged tenders related to the railway which is nearing completion.
“I have had to employ other 1, 950 suppliers in all sections assigned to me at the SGR. They supply sand, ballast and rock and 90 per cent of them are local. They comprise women, men and youth,” said Mr Ndeti in an interview with Money on Thursday.
The exposure of SME to large contracts has been made easier with the introduction of the e-procurement platforms that enhance the reach to all small businesses in 47 counties.