SGR Construction in Tanzania - UPDATES

Wewe umeona video tu unajifanya unajua kila kitu kuhusu huu mradi. FYI huu mradi una local content zaidi kuliko ule wenu ambao mchina alipiga kazi zote mpaka udereva! picha za site zenu wachina wamejaa una eza hisi ni Beijing
 
Wewe umeona video tu unajifanya unajua kila kitu kuhusu huu mradi. FYI huu mradi una local content zaidi kuliko ule wenu ambao mchina alipiga kazi zote mpaka udereva! picha za site zenu wachina wamejaa una eza hisi ni Beijing
hii game haihitaji kukurupukwa... umeshatuonyesha ballast inatengenezwa na kampuni ya uturuki ... tayari mmeshapoteza local content...
mimi nimekuonyesha hadi taarifa inayosema ballast ya kenya ilikua inatoka wapi... Hio mashini ya kuvunja ballast haingenunuliwa kama mturuki alikua anapanga kununua kokoto kutoka kwa kampuni za Tz..

mbali na hivyo, kumbuka reli ya kenya ni reality wakati reli ya Tz bado iko kwa makaratasi ya blue print ... pole pole kadri wanavyojenga ndo tutaona reality ya hio local content...kwasasa tayari kampuni za kitz zimeshakosa tender ya ballast, bado tujue simiti itatoka wapi.... alafu twende kwa picha za ujenzi mwishowe reli ikimalizika ndo tuone hao madereva watz...


kwahivyo tulia wacha kucheka mwenzako alivyo koswa koswa na mamba na kulowesha nguo maji akivuka mto... la muhimu mwenzako kashavuka mto ako upande mwengine...
 
ndo maana our cost is half Kenya's. Na mbona kampuni za quarrying ziko nyingi sana hata za jeshi pia hata za kutengeza concrete. Kumbuka Tanzania is a mining country!
Kutengeneza sio shida... hata quality sio shida manake hakuna ufundi mwengi unahitajika kutengeneza kokoto zenye edges ambazo ni nzuri kwa rail ballast....

shida hapa ni kwamba mturuki alipiga hesabu na kuamua kwamba itakua ni cheaper kuuleta huo mtambo na kupata leseni ya quarrying ili wajitengezee wenyewe hizo ballast kuliko kupeana kampuni ya kitz tenda ya kuwauzia ballast ambayo ni standard ya AREMA rail ballast... kama wangefanya hivyo, kampuni ya kitz ingeuza ballast kwa bei ya tanzania kulingana na production cost na mengineyo ambayo ingelazimisha garama ya ujenzi kupanda .....Tofauti na vile wanavyofanya hapa ni kwamba hio kampuni ya uturuki haitanunua ballast or essentially, watanunua na kujiuzia wenyewe kulingana na bei watakayotunga...
 
Ballast inakutoa rohoπŸ˜€πŸ˜€ Mturuki anajenga European standard. Hiyo ni level one
 
Hivi mnavyo semaga sgr Tz ipo kwenye makaratasi mnakua mna waza nini!! Watu wanafunga safari as far as Nigeria kuja kujifunza nyie endeleeni kupiga domo. Halafu kujua amount ya local content siyo mpaka mradi uishe. Ndiyo maana Uhuruto wana wanyoosha, mnangoja mradi uishe mpewe report! Kwenye makaratasi kama unavyo sema ndiyo suppliers wana kua identified, Kipindi cha mobilisation watu wana kula tender zao.
Man power iliyo tumika kwenye SGR kenya more than 30% ilitoka China material more than 60%, it cant get worse than that! It is also inked that for the next 10 years SGR Kenya is going to be serviced and operated by Chinies. Before you bark any further remember SGR Tz was master minded by Dr Magufuli and yours by Uhuru we all know their standing when it comes to protecting national interests of the respective countries.
 
Mkongo Nasikia Jean Pierre Bemba aliwachiliwa? Alafu pia nasikia Leo unafunguliwa nyuma na wanamgambo wa mai mai pale Kivu.
Umekula lakini??πŸ˜€πŸ˜€ Kingereza hakijakusaidia kupata ajila! Kubali uwekijakazi kama YoungDπŸ˜€πŸ˜€
 
hivi SGR ya Kenya, kuna nchi ilienda kujifunza kipindi cha ujenzi? Naskia timu yetu sisi ilienda Ethiopia na Dubai kuangalia miradi ya Yapi Merkezi.
 
hivi SGR ya Kenya, kuna nchi ilienda kujifunza kipindi cha ujenzi? Naskia timu yetu sisi ilienda Ethiopia na Dubai kuangalia miradi ya Yapi Merkezi.
Wewe unajua Kenya tuna Sgr na nyinyi hamna. Ile siku Sgr yenu itakamilika sisi hatutapumua humu kwa makelele na unyende mtakayo piga. Unaringa na bado progress ni 35%. Sipati picha mradi ukikamilika, dunia itasimama wengine wetu tushuke ili tuwape nafasi ya kusherehekea.
 
hivi SGR ya Kenya, kuna nchi ilienda kujifunza kipindi cha ujenzi? Naskia timu yetu sisi ilienda Ethiopia na Dubai kuangalia miradi ya Yapi Merkezi.
Sizani kama kuna watu walienda kujifunza. Labda kama mtu ulitaka kujifunza kichina! Ila i am sure Kenyan policy makers explored the world in the name of learning how to build SGR yet they already knew what they have in plan. Kama walivyo fanya kwenye BRT [emoji1]

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…