Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #521
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nyinyi mnaongea kuhusu mradi wa kilomita mia moja hamsini pekee. Hio ni sawa na kilomita za Kenya sgr phase 2A. Phase 1 pekee ni zaidi ya kilomita mia tano.


June progress updates, kazi inaenda vizuri sana...
Kuna vichwa maji wanataka picha siyo video. Very strange...!!Kwa wale wabishi ambao hata hii video hawajaiona na kusadiki basi waje wapapase waone kazi inavyoendelea kwa kasi ya ajabu
😀😀😀tatizo bundle.Kuna vichwa maji wanataka picha siyo video. Very strange...!!
😀😀😀kuwa serios bana,kama la kenya tungeweza jifunzia kulikuwa na haja gani,si tunalo letu hapa la ubungo/kkoo,buguruni/kkoo,pugu/tazara!!!Tanzania to send railway staff overseas for training
Source: Xinhua 2018-07-08 01:50:06
DAR ES SALAAM, July 7 (Xinhua) -- Tanzania will send a team of 167 railway professionals to five countries, including China and South Korea, to undergo training in the operation of the much awaited train to run on the standard gauge railway (SGR), an official said on Saturday.
Tanzania Railway Corporation (TRC) Executive Director Masanja Kadogosa said the local staff, whose fields range from engineering to operators, were expected to be trained in China, South Korea, Ethiopia, Turkey and India.
Tanzania has chosen the five countries to train local experts due to their experience in running trains, he said.
"Through this collaboration in technology, local experts will be able to cope with the technology to run the SGR system effectively," said Kadogosa.
The first phase of construction of the SGR in the east African country was expected to be completed in November 2019.
Launched by President John Magufuli this year, the standard gauge railway, whose construction was being undertaken by a Turkish firm, Yapi Merkezi, and a Portuguese company, Mota-Engil, was expected to link the port of Dar es salaam with Mwanza and other countries including neighboring Rwanda and Burundi.
"Tanzania has already signed agreements with the five countries to train the railway experts," Kadogosa told a news conference at the ongoing 42nd Dar es Salaam International Trade Fair (DIFT).
He said the move was aimed at ensuring that local experts were fully equipped and trained to operate the much awaited modern form of railway transport in the country.
Kadogosa said only qualified operators had been selected for the training.
"We have selected a team of experts in communication, logistics, technicians, civil, and electrical engineering including locomotive operators," he said.
According to him, the course duration will be from six months to two years, depending on the type of course.
[Editor: huaxia]
Copyright © 2000 - 2018 XINHUANET.com
All Rights Reserved.
Tanzania to send railway staff overseas for training - Xinhua | English.news.cn
MY TAKE
Kenya is not selected as their SGR is garimoshi!
Post itThis video is not complete. There's another full version showing Pugu station.
Nani alikuwa kwa huu mkutano atonyeshe picha za stations?
Indeed![]()
Morogoro Station
I like these simple and elegant designs 🙂
sasa kama gharama ni katika vituo mlivyojenga utajipongeza!!!,hivi unatumia akili namna gani???^^ Eti Simple,,,, dont you mean cheaply designed, niliwaambia muwache ku compare reli iliyojengwa(kenya) vs reli iliyo kwa makaratasi... nikawaambia mtulie hadi ikamilike alafu ndo mpige makelele.... pole pole tu kadri mnavyoendeleza ujenzi mtaanza kuelewa kwanini reli ya Kenya ilikua gali...
Quick facts:
Uzinduzi rasmi wa phase 2A kenya ulianza October 2016....
Uzinduzi rasmi wa SGR Dar-Moro ulifanyika April 2017.. yani miezi sita baadaye... lakini mkataba wenyewe ulisema hau waturuki wajenge mchana na usiku tofauti na Kenya ambapo ujenzi unaendelea masaa 12 kwa siku...kwahivyo hio miezi sita ya ujenzi wa Kenya mnafaa muwe mulishaipiga lap kwasababu kwa kila siku kenya inafanya ujenzi tz inafanya atleast mara moja na nusu zaidi....
lakini ukiangalia tofauti ya progree ni kubwa sana!!!! swali ni je huu ujenzi wa usiku na mchana unaendelea kweli ama ni mchezo wa pata potea...
hiyo ni mojawepo ya garama, amabayo tumeshawashinda..sasa kama gharama ni katika vituo mlivyojenga utajipongeza!!!,hivi unatumia akili namna gani???
Mliwaambia nn hadi wakakubali yenu Ni bora ilhali Wakenya mnalalamika mliliwa?tena ya Ethiopia Ni ya gharama nafuu na nzuri kuliko yenu by far. ..mnapenda kusifiwa sana lakini tatizo vigezo Hamnahiyo ni mojawepo ya garama, amabayo tumeshawashinda..
kitu chengine, matuta ya sgr kenya yanawekwa angalau 2 meters above the ground, matuta ya SGR Tz yanawekwa hata 0.6m hadi 1meter... tofauti ni kubwa sana kwa garama..
alafu la muhimu zaidi..reli ya Kenya ina uwezo wa kubeba tani 22 million kwa mwaka hata kama inatumia diesel...
wakati reli ya Tz inauwezo wa 17 million tonnes kwa mwaka na inatumia electric traction... mwishowe kitaeleweka tu! wa Ethiopia tayari washakubali kua kati ya reli zote zinazojengwa Kenya, Ethiopia, Tanzania. ..ni reli ya Kenya ndo iko superior zaidi ya hizo nyengine hata kama inatumia diesel!