SGR Construction in Tanzania - UPDATES

SGR Construction in Tanzania - UPDATES

Mnyonge ama masikini ndiye huwa amejaa wivu...kwa sasa angalia hii section ya Kenyan News, alafu uniambie ni nani wengi kama sio wa huko kwenu kila siku kufungua nyuzi hapa za Tanzania. Pili hebu niambie kama utawapata Wakenya kwa Jukwaa la siasa wakipiga domo na kujisifu vile wako juu. Tatu hebu enda pale Kennyatalk uangalie kama utawapata Jukwaa maalum la Jamii forums wakiingilia habari za Watanzani. Sisi wakenya tuna heshima sana lakini wakati unapotukanyaga vidole lazima we react. Mkuu wewe hatujajibizana siku nyingine na naomba hoja zetu ziwe za watu wazima wenye akili timamu, najua kuna WaTzee walio na heshima sana lakini wengi ndani ya Kenya Forums ni waliojawa na wivu wa kike.
Shukrani kwa povuu[emoji120] [emoji120]
 
labourers-work-on-the-construction-of-a-section-of-the-new-standard-picture-id516170544-jpeg.818340


Daraja lishabonyea!

labourers-work-on-the-construction-of-a-section-of-the-new-standard-picture-id516170594-1-jpeg.818341


hili daraja limepachikwa baada ya reli kujengwa!
😁😁😁😁

Mchina atawakomesha, hiyo reli yao inalipuliwa utafikiri ni kichaa ndie kashika contract.
 
Wewe ndio una wivu wa kike, nakumbuka ulisema kuwa dreamliner yetu haitakuja. Kiko wapi sasa? Kajinyonge sasa na wivu wako wa kijinga.
Hakuna mahali nimedanganya kama nilivyosema hapo juu, na kama iko ungetaja kukanusha madai yangu.
Seriously nitaiskilia LDC wivu kwa kipi hata omba omba wenu wanajua Kenya kuna hela.
 
Dream liner nasikia inacheza route za Tz ndani kwa ndani 😀😀 mnafanyanga biashara kienyeji kienyeji.
Yes, and the Aircraft is fully booked till September
Toka Dar hadi Mwanza ni 1300km,
Any other questions!
 
Last edited:
wakenya wapo kwenye denial.
they don't want to believe if this project is real happening in tanzania.
 
wakenya wapo kwenye denial.
they don't want to believe if this project is real happening in tanzania.
Wakenya hatuko kwa denial.. Tunajua at one point in time SGR Dar-Moro itamalizwa (imelipiwa so we expect itamalizwa) however Kumaliza sgr hadi Rwanda hatujui itakua ni 2024 au 2031... au labda 2040....
 
Mtawafunga Watanzania macho hadi lini? Shit is about to hit the fan. Sasa where is the economic viability ya kuchoma mafuta pili kusafirisha locally?
Uliza kama hujuwi uambiwe, that is flight test, huwezi kupokea ndege tena mpya kutoka kiwandani ukapakia abiria the next day. You do flight test, kwanza bila abiria halafu na abiria kabla ya commission to service.
 
Back
Top Bottom