SGR Construction in Tanzania - UPDATES

You hit the right point
 
Umempa darasa la bure, mpe na darasa la tofauti ya continous welded track (Tz) na jointed track (Ke). Inshort central corridor in enda kuwa na upper hand in every sphere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So Mchina kajenga, anaiendesha na ataikarabati. Wakenya kazi yao nn?
 
Hiyo maintenance costs unayopigia kelele unamaanisha nini kama umekubali kwamba running/operating cost ni kubwa kwa diesel train?

Sent using Jamii Forums mobile app

maintenance cost iliokua inaongelewa na wa Ugnda ilikua ni kuhuru reli yenyewe... Specifically Chinese standard rail vs American standard... ndo hadi wakasema down time ya kufanya repair ya reli kwa mwaka mzima itakua ni siku saba kwa mwaka....

Mimi sikatai kwamba kuna advantage ya kutumia electric compaired to Diesel... essecially ninanchosema ni kwamba 1)reli ya Kenya (bila hizo diesel trains) ni superior kuliko reli ya Tz...
2) Na hata ikija hapo kwa electric traction vs diesel... electric traction inashinda only if all the variables are the same... lakini pale variables zitaanza ku-vary, electric might not better after all... e.g kukiwa hakuna mizigo diesel haitumiki lakini in tz, hata kukiwa hakuna mizigo bado tanesco watadai bill yao... vile vile kwa reli ya Kenya, diesel price itakua inaflactuate kwahivyo cheap or expensive italingana na bei ya mafuta ama kama serikali itaamua oil ya SGR haito tozwa ushuru..etc...
 
Hiyo maintenance costs unayopigia kelele unamaanisha nini kama umekubali kwamba running/operating cost ni kubwa kwa diesel train?

Sent using Jamii Forums mobile app

maintenance cost iliokua inaongelewa na wa Ugnda ilikua ni kuhusu reli yenyewe... (haikuwa ina include locomotive.) Specifically Chinese standard rail vs American standard... ndo hadi wakasema down time ya kufanya repair ya reli kwa mwaka mzima itakua ni siku saba kwa mwaka....

Mimi sikatai kwamba kuna advantage ya kutumia electric compaired to Diesel... essecially ninanchosema ni kwamba 1)reli ya Kenya (bila hizo diesel trains) ni superior kuliko reli ya Tz...
2) Na hata ikija hapo kwa electric traction vs diesel... electric traction inashinda only if all the variables are the same... lakini pale variables zitaanza ku-vary, electric might not better after all... e.g kukiwa hakuna mizigo diesel haitumiki lakini in tz, hata kukiwa hakuna mizigo bado tanesco watadai bill yao... vile vile kwa reli ya Kenya, diesel price itakua inaflactuate kwahivyo cheap or expensive italingana na bei ya mafuta ama kama serikali itaamua oil ya SGR haito tozwa ushuru..etc...
 
Kenya Rail is another KQ!
 
Sasa mnatuambia mambo ya mataluma ya zege na sisi tuko nazo tayari kutoka Mombasa hadi Nairobi. Sasa hakuna kitu mpya umetufunza hapo kama Wakenya, labda uposti kwenye forum za kitanzania pengine watajifunza jambo jipya.
Angalia smoothness! Wacha kulinganisha almasi na upuuzi!
 
Kaka acha kupiga ramli, sasa huna reference zaidi ya huyo Mganda?, Mbona serikali yenyewe ya Uganda ilichagua kujenga electric kutoka na gharama za uendeshaji kuwa chini kuliko diesel, ina maana hawakuliona hilo?. Unapotakiwa kutoa credible reference sidhani kama reference ya hear say inakubalika, hivi vitu vya maintainance cost ni vitu vya kitaalamu ambavyo vinakuwa available for public consumption, Kama umeshindwa kutoa original source yake, basi nyamaza hoja yako sio kweli na haina mashiko.

Railway yoyote inapimwa kwa vigezo vifuatavyo ili kupima ubora wake (Superiority)
1)Safety
2)Speed
3)Modernity
4)Capacity(axle size)
5)Electric Vs Diesel
6)Running costs

Katika maeneo yote hayo onyesha ni wapi Kenya inaweza kujilinganisha na Tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nieleweshe kwenye namba 3)
Modernity ni kigezo?
 
Nieleweshe kwenye namba 3)
Modernity ni kigezo?
Train ya Tanzania itakuwa ya kisasa sana kiasi kwamba control center itakayo kuwa DSM itakuwa na uwezo wa kufuatilia uendeshaji wa dereva wa train yoyote ile popote train ilipo kujua kama anaendesha kufuatana na maelekezo yanayotolewa na signals na vibao vilivyowekwa, dereva ataonywa kama hafuati maelekezo kama akiendelea kufanya makosa, control center watamchagulia maximum speed ambayo hatoweza kuivuka hadi mwisho wa Safari yake, au wanaweza kuisimamisha hiyo train hapo ilipo isiendelee na Safari, watayafanya haya hata kama train inakaribia Kigali wao wakiwa DSM, hiyo ndio maana ya new modern.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchina aliwaahidi sensors for Mombasa-Nairobi ila cha ajabu ng'ombe na wildlife wanagongwa kila siku.

Kwani iyo reli kusipokua na mzigo siabiria wapo. ..na tangu lini gharama za umeme zikawa juu kama disel?diesel ni gharama zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…