Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,473
- 4,252
Nashukuru kwa ELIMU hii mujarabu.
Awali nilifikiri diesel engine inafanya KAZI kama magari yanavyofanya KAZI. KUMBE inatumika kuendesha generators ambazo zinafua umeme kwa ajili ya kuendesha umeme!
The Kenyan SGR can be adopted to use a gas. It's more efficient to produce electricity using a gas than diesel. We can negotiate to pipe it to Kenya.
Mkuu,
Yani kwa kifupi hilo diesel engine ni kama a mini-powerplant, unaweza hata ukalitumia kufulia umeme ukawasha ka-kijiji kazima watu wakapiga na pasi na kupika...🙂
On the other hand, electric one inatumia umeme uliokwisha zalishwa sehemu nyingine na ktk mazingira yetu a three phase powerline ya 25 KVA (hii ni kama 20 kW tu) inatutosha sana kuendesha SGR yetu so kwa wale wanaodhani kuwa umeme litakua tatizo wasahau kabisa...
Na kumbuka hata kama umeme wa Tanesco utakatika TRC yenye inaweza kuwa na backup power plants ktk several intervals along the SGR line. Generator ya three phase 25 KVA inauzwa chini ya USD 2000 (i.e., check brands like Perkins) na zinaweza kuwa converted na zikawa zinatumia gesi yetu ya bure ya Mtwara sio diesel.