Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #1,221
Wanazisoma kimyakimya, kuna kamsemo, ukiona kimya ujue tumekubaliana🙂Siku hizi watu hawataki tena Updates si za picha wala Video.
HahahahaWakenyaaaaaa chuchumaaa “iokoteee”
Mwenye Enzi Mungu ibaraki nchi yetu Tanzania milele yote walahi
That’s all!
Wataelewa tu
Mambo firee
Ebu ongezeni speed bana nguzo 46 kati ya 102 yaani ata nusu bado miezi minne sasa.
Nguzo zimeanza wekwa juzi hapa bhana, miezi minne bado haijafikaEbu ongezeni speed bana nguzo 46 kati ya 102 yaani ata nusu bado miezi minne sasa.