shabani
JF-Expert Member
- Apr 3, 2009
- 309
- 221
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe na wasiwasiTanzania tunalipuliwaga sana kazi hata hii itakuwa ya vululuvalala tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] tena inaweza kamilika 2030
No haiwezekani sio hawamu hi. Kwanza project ipo na consultant 8 mmoja kutoka TZ na wengine nje ya nchi. Designing inafanywa na kampuni kutoka Denmark na bado jua hii project iko na major contractors wawiliTanzania tunalipuliwaga sana kazi hata hii itakuwa ya vululuvalala tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] tena inaweza kamilika 2030
Ya kenya max ni 120 average ni 80maximum ni 158km/hr but operating speed inachezea averagely 120km/hr.......sasa nataka kujua hizi kelele zote kutoka kwa watanzania huwa za nini kama train yenyu itafanya max 160km/hr, obvious haiezi operate with max speed
Geza umesema SGR itafika Mwanza na mchepuko Isaka kwenda Rwanda.Na je reli hii aitafikà Kigoma au vipi?Uhuru nae soon anatia mguu dar kusaini SGR ya mwanza to kisumu!
Yap ila baadae maana Magu anataka kufika Kigali na Kampala kabla ya Kenya.Geza umesema SGR itafika Mwanza na mchepuko Isaka kwenda Rwanda.Na je reli hii aitafikà Kigoma au vipi?
Tanzania tunalipuliwaga sana kazi hata hii itakuwa ya vululuvalala tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] tena inaweza kamilika 2030
Ni kweli mkuu,,Magufuli tumnange tu kwenye demokrasia,,lakini kwenye kusimamia miundombinu huyu jamaa ni moto wa kuotea mbali,hatuna budi kujivunia hilo.!Si kwautawala huu labda kama una miwani ya mbao na macho yabandia. Kazi inafanywa 24/7, TAZARA inakaribia kumalizika, Ubungo inaanza, njia sita kuna billion 33 ziko pembeni zinasubiri uondoaji wa miundombinu ya maji na umeme. Kaka tumseme vibaya JPM kwenye what so called demokrasi lakini kwenye mambo muhimu ya nchi acahana naye mwanaume huyu and believe me hakuna ambaye angewea kufanya haya anayofanya kwa speend anayoifanyia. Magu ni mwanaume.









😀😀😀😀😀 siku hzi 120km per hr ishakua 158 km per hrmaximum ni 158km/hr but operating speed inachezea averagely 120km/hr.......sasa nataka kujua hizi kelele zote kutoka kwa watanzania huwa za nini kama train yenyu itafanya max 160km/hr, obvious haiezi operate with max speed