SGR Construction in Tanzania - UPDATES

SGR Construction in Tanzania - UPDATES

Can you please mention those five countries and their volume of imports
Achilia mbali imports.. umesikia more than two hundred milion tons of minerals Burundi will export using our sgr. Achilia mbali Rw na mengine kutoka Tz + Congo. Baada ya hapo ndo uje imports. Hizi ni over seas goods, bado kuna goods kutoka maviwanda ya Tz kwenda kwenye izo nchi and vice versa, hapa tuna ongelea forex. Then people from & to Dar, Moro, Dom, Singida, Tabora, Kigoma, Mwanza, Kagera, Kigali, Bujumbura e.t.c. Hapo bado uja weka mazao kutoka mashambani. No wonder financial institutions zina pigana vikumbo ku finance hii kitu. Mradi unalipa kabla hauja anza [emoji13]
 
Wakenya ni kama wamepanic,walijisahau sana,wanaona wanaanza kupitwa kinaendeleo,wa aweweseka
 
Nasikia kenyatta ameruka koote hadi msumbiji
Kutapa tapa kubaya sana
 
You guys are high on something. Hata 1Km haijajengwa na vile mnapiga kelele humu. Empty debes making noise with zero SGR to show, Kenya and Ethiopia 600+ Km SGR na hatupigi kelele. Nyamazeni kama wenzenu kina Uganda, Rwanda, Burundi na DRC tuwaonyeshe jinsi tulivyo manyanga'u . Kenya ni kama Diamond Musician...kuna wale watatuchukia na wale wanaotupenda, cha msingi ni kupaa kwetu.
 
hehehe.hata kilometre moja bado😀

Hata kwa renders haipo ni kwa baadhi ya midomo bakuli hapa JF ndio inapatikana.
Rais Wa rwanda Paul kagame, baada yakuona ujenzi wa SGR ya TZ inavyo endeleea kwa kasi, ameamua kuunga mkono magufuli na kuanza ujenzi kutoka Kigali hadi isaka. Sasa Wewe unataka kutuambia kwamba Kagame ni Mjinga kama wewe? Kagame ni mdomo bakuli kama wewe? Unamjua Kagame wewe?
 
Kagame si mjinga kama wewe, hana mdomo bakuli kama wewe na humjui kagame.
 
Back
Top Bottom