SGR Construction in Tanzania - UPDATES

SGR Construction in Tanzania - UPDATES

Swali langu ni hii, je bado hata hamujamaliza DAR-MOROGORO, na hio ndio sehemu ya kwanza, sasa, je mutamaliza lini toka morogoro-makuputora------makuputora-----tabora--------tabora------isaka------to mwanza---to the mpakani wa rwanda????? ili hii reli ifike mwanza na mpakani mwa rwanda itachukua hadi 2028 au hata 2030, hii umweka hapa si habari hata kidogo, hata hela ya kuaza makuputora hadi mwanza au mpaka wa rwanda HAMUNA HIZO HELA,je si mutafute hela kwanza.
 
2020 itakuwa imekamilika hadi Rwanda kwa sababu tushakubaliana, wakati huo tunaweza tukawa tunazungumza na Burundi
 
mwaswast said:
Kenya kuna university zaidi ya mia moja sijui huko bingo kama zimefika kumi?
Aaah sawa si kama hizo hapo juu,university kama primary!!
 
2020 itakuwa imekamilika hadi Rwanda kwa sababu tushakubaliana, wakati huo tunaweza tukawa tunazungumza na Burundi
HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA you must be a very good day dreamer, keep on dreaming
 
Swali langu ni hii, je bado hata hamujamaliza DAR-MOROGORO, na hio ndio sehemu ya kwanza, sasa, je mutamaliza lini toka morogoro-makuputora------makuputora-----tabora--------tabora------isaka------to mwanza---to the mpakani wa rwanda????? ili hii reli ifike mwanza na mpakani mwa rwanda itachukua hadi 2028 au hata 2030, hii umweka hapa si habari hata kidogo, hata hela ya kuaza makuputora hadi mwanza au mpaka wa rwanda HAMUNA HIZO HELA,je si mutafute hela kwanza.
Wivu wa kikenya huu.
 
Jamani eeh tupeane udpades za kuitwa kazini huko kilosa kwa tuliotuma maombi ya kazi fani tofautitofauti..
 
Back
Top Bottom