SGR Construction in Tanzania - UPDATES

SGR Construction in Tanzania - UPDATES

Wamedai ujenzi wanamaliza April 2019 kabla Julai kama mkataba unavyo sema

Mulisaaa acha masihara mkuu kwa hizo asilimia walizonazo haiwezekani kua wamemaliza April mwakani miezi 6 tu imebakia ujue
 
Mulisaaa acha masihara mkuu kwa hizo asilimia walizonazo haiwezekani kua wamemaliza April mwakani miezi 6 tu imebakia ujue
Nadhani Kazi ngumu na ya Muda mrefu ilikuwa ni kujenga Tuta. Japo muda huo hata mimi unanitisha ila kwakuwa wamesema wao wenyewe Wajenzi tusubiri kuona.
 
Yapi merkez yuko vizur anataka amalize Dar to moro haraka ili aende kuongeza nguvu kwa wenzao waliopo phase 2 ya moro to Dom..hii inaitwa kimbiza mwizi kimya kimya ukimpata mfanye unacho kitaka
 
Nadhani Kazi ngumu na ya Muda mrefu ilikuwa ni kujenga Tuta. Japo muda huo hata mimi unanitisha ila kwakuwa wamesema wao wenyewe Wajenzi tusubiri kuona.

Shabby tuko pamoja. Lakini kumbuka kuna ujenzi wa stations na upande wa daraja la dar nguzo zote bado hazijakamilika. Itabidi kweli waongeze msuli hasa
 
Mulisaaa acha masihara mkuu kwa hizo asilimia walizonazo haiwezekani kua wamemaliza April mwakani miezi 6 tu imebakia ujue
Una ardue na wataalamu??. They have there plan and experience. They know what they are doing.
 
Kwenye picha zao nimeona rails laying machines! I guess r about to be deployed n speed itaongezeka!
Kumbuka kile kipande cha kwanza kilikuwa ni kwa ajili ya kutengeneza nafasi ya kudeploy rail laying machines in each direction.
 
Back
Top Bottom