OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Mkuu ulipanda ya jana ndo mkatumia huo muda. Au ni ule wa kwenye ratiba yao?Dar to Dodoma 3:25
Tusubiri majibu maana kwa basi Dar to Moro ni masaa manne moro to Dom masaa matanoMkuu ulipanda ya jana ndo mkatumia huo muda. Au ni ule wa kwenye ratiba yao?
Jana ..Dar dodom ni massa 4Tusubiri majibu maana kwa basi Dar to Moro ni masaa manne moro to Dom masaa matano
Kama huo muda alioutaja ni sahihi basi sitapanda tena mabus
Ukweli ni kuwa safari ya bus Dar to Morogoro au Morogoro to Dar ni saa 5 nzima kwa bus; na kutoka Dar hadi Dodoma au Dodoma hadi Dar kwa bus ni saa 8 nzima. Hiyo ndiyo hali halisi kwa sisi tunaotumia usafiri wa bus.Tusubiri majibu maana kwa basi Dar to Moro ni masaa manne moro to Dom masaa matano
Kama huo muda alioutaja ni sahihi basi sitapanda tena mabus
31000 daraja la economy ila ikianza Ile ya speed ikianza itakuwa 50000 economyNauli shingap Dar to Dom
✊✊31000 daraja la economy ila ikianza Ile ya speed ikianza itakuwa 50000 economy
Nilipanda j4 kutoka Dom tumetoka saa kumi na moja na nusu alfajir tumefika Dar saa mbili na dkk 50 speaking with my own experienceTusubiri majibu maana kwa basi Dar to Moro ni masaa manne moro to Dom masaa matano
Kama huo muda alioutaja ni sahihi basi sitapanda tena mabus
Kuna express na ordinaryNauli shingap Dar to Dom