Sgr Dar to Moro

Treni ni usafiri wa haraka na uhakika, ila muda huu huwezi kupata nafasi ila ukienda Magufuli stand unapata gari na uhakika wa safari, ingawa utachelewa lakini utafika siku husika.
Treni ya saa kumi na mbili jioni ipo pia au
 
Saa tisa iyo inamaana
Panda ya saa tatu asubuhi. Fika pale saa mbili kamili hivi utapata tiketi. Jumatatu hadi jumatano haijai sana ila kuanzia alhamisi hadi jumapili ndio inabidi ukate tiketi siku kadhaa kabla.
 
Panda ya saa tatu asubuhi. Fika pale saa mbili kamili hivi utapata tiketi. Jumatatu hadi jumatano haijai sana ila kuanzia alhamisi hadi jumapili ndio inabidi ukate tiketi siku kadhaa kabla.
Sawa mkuu
 
Kununua hizi tickets though Nilikuwa sisafiri nilipo cheki, inaweza sema imeisha ila mtu asipolipia hata baada ya dk chache unapata ila vizuri nafikiri ulipie papo hapo. Ili usisahau ukakuta nawe imekwenda. Jaribuni tena na tena labda iwe hakuna kabisaaa unakuwa umeridhika.
 
Unaweza kukata go &return labda waenda leo kesho kutwa unarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…