SGR Ethiopia one and a half years later.

Tatizo ni kujitutumua kuweka ya umeme bila kuzingatia mengine, bora ujenge kama tulivyofanya Kenya, uwekeze kwenye kuifanya iwe thabiti, kisha siku za usoni ndio uwaze mambo ya umeme.

Continue to console yourself after Chinese beat you at your game....

Every other country is building electronic trains.. ngoja mseveni aanze yake!

The only country kenya can collaborate to build smoke powered rail is Somalia!
 
The 60kmph was arbitrarily mandated by Ethiopia Railways Corporation (ERC) to reduce the small accidents such as hitting cattle and wildlife.
 
Hahahaha, hakuna nchi yoyote duniani inayojenga Diesel train. Dunia ipo katika mikakati ya kutumia "clean energy", bado kuna " Primitive community " hadi Leo zinatumia kupikia "Mkaa" Ikulu na kujenga reli zinazotumua Diesel, kweli duniani kuna wendawazimu.
 
Continue to console yourself after Chinese beat you at your game....

Every other country is building electronic trains.. ngoja mseveni aanze yake!

The only country kenya can collaborate to build smoke powered rail is Somalia!

How am I consoling myself, yet in the EAC we are the only ones with a functioning SGR which is breaking even so fast.
 
Hahahaha, hakuna nchi yoyote duniani inayojenga Diesel train. Dunia ipo katika mikakati ya kutumia "clean energy", bado kuna " Primitive community " hadi Leo zinatumia kupikia "Mkaa" Ikulu na kujenga reli zinazotumua Diesel, kweli duniani kuna wendawazimu.
Kama Tz hivi na ile 1358.69MW yani 70% ya Watanzania wanatumia kuni na mkaa kea matumizi yao ya upishi 365 days in a year.😂😂😂
 
Yaani we unataka na sisi tujenge ya moshi???.. hakuna nchi inajenga railway ya moshi dunia ya leo...only in kenya!!!

Duh! Railway ya moshi, napenda sana nikaione maana tangu uumbwaji wa dunia hakujatokea kitu kama hicho.
 
Si hiyo ya kwenu tuktuk inayochafua hali ya hewa..ukaione wapi tena!?🚂🚂🚂🚂🚂🚂

Haijawahi kutengenezwa reli ya moshi dunia hii, hata enzi zile za mababu. Unadhihirisha ulivyo nyuma kiakili kuwazidi hata watu wa enzi zileeee.
 
🚂🚂🚂🚂🚂🚂🚂
 
this derailment costed the Ethiopian government USD 10 million and closed off the railway line for 4weeks.
Btw hizo embankment na slope gradient hazina tofauti na SGR TZ. pia hawajafence reli kwahivyo treni zinagonga wanyama Mara nyingi sana na kusababisha delays.

View attachment 1187801
show me one embarkment on SGR that looks like this!

then tell me the difference btn that Ethiopia embarkment and this Kenyan embarkment!

sgr.jpg

I see two similar poor drainages btn SGR Kenya n SGR Ethiopia!
 
bora ujenge kama tulivyofanya Kenya”.

Rekebisha hiyo statement. Kenya reli yenu imejengwa na China na Hela za wachina na inaendeshwa na wachina na inabeba mizigo ya china. Na usililinganishe mikebe yenu ya githeri na treni yetu ya umeme ambayo tunajenga kwa hela zetu na kwa nguvu zetu na tutaiendesha sisi watanzania.
 
Kwanza kabisa kabla sijawaza kurekebisha chochote, naomba uanze wewe, maana hadi sasa hamna reli wala treni ya aina ya mfumo wa SGR Tanzania, huwa tunaskia kunayo inatengenezwa na Mturuki na kuna mapicha mapicha huwa mnatupia kwenye mitandao, lakini kama tujuavyo watu huwa hawatumii mapicha kusafiri.
Kuna kipindi mlitupia picha ya kichwa cha treni kimelewa gongo/changaa

Sisi ndio taifa pekee EAC ambao tunayo reli iliyojengwa kwa mfumo wa SGR na inatumika na mahesabu yake yanaridhsha hadi raha.
 
Kwanza kabisa kabla sijawaza kurekebisha chochote, naomba uanze wewe, maana hadi sasa hamna reli wala treni ya aina ya mfumo wa SGR Tanzania, huwa tunaskia kunayo inatengenezwa na Mturuki na kuna mapicha mapicha huwa mnatupia kwenye mitandao, lakini kama tujuavyo watu huwa hawatumii mapicha kusafiri.
Sisi ndio tafa pekee EAC ambao tunayo reli iliyojengwa kwa mfumo wa SGR na inatumika na mahesabu yake yanaridhsha hadi raha.

Mnaongoza mechi kwa first half ila mnaongea sana. Kitu kinakuja 160Km/h. Tutakuwa na fastest train in East Africa na hilo litadumu kwa miaka siyo chini ya 50. Hayo makopo yenu ya diesel mmepaka rangi nyekundu yatakuwa kwenye museum zetu kuwafundishia watoto wetu. “Tulikuwa na jirani aliuziwa mbuzi na mchina kwenye gunia” thats 2040 history lakini
 
show me one embarkment on SGR that looks like this!

then tell me the difference btn that Ethiopia embarkment and this Kenyan embarkment!

sgr.jpg

I see two similar poor drainages btn SGR Kenya n SGR Ethiopia!

ukiwacha kuongea kwa ushabiki, uta google specifications za Arema standards(ambayo tz inajenga) na Chinese class 2(ambayo Ethiopia walijenga) kisha utuonyeshe tofauti.
 
Mnaongoza mechi kwa first half ila mnaongea sana. Kitu kinakuja 160Km/h. Tutakuwa na fastest train in East Africa na hilo litadumu kwa miaka siyo chini ya 50. Hayo makopo yenu ya diesel mmepaka rangi nyekundu yatakuwa kwenye museum zetu kuwafundishia watoto wetu. “Tulikuwa na jirani aliuziwa mbuzi na mchina kwenye gunia” thats 2040 history lakini

Kinakuja, kitakuja, lazima kije, ipo siku kitakuja......hizi blah blah
Siku fulani mkatuletea picha ya kichwa cha treni kimelewa gongo na kubinuka....hehehe nyie kituko.
 
Back
Top Bottom