Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Hii ni Kali nimecheka walahi.3. Inawaadhiri Sana vile wafugaji walio karibu na Reli wanawagongesha mifugo yao maksudi ili wapate fidia.
Tatizo ni kujitutumua kuweka ya umeme bila kuzingatia mengine, bora ujenge kama tulivyofanya Kenya, uwekeze kwenye kuifanya iwe thabiti, kisha siku za usoni ndio uwaze mambo ya umeme.
Continue to console yourself after Chinese beat you at your game....
Every other country is building electronic trains.. ngoja mseveni aanze yake!
The only country kenya can collaborate to build smoke powered rail is Somalia!
Kama Tz hivi na ile 1358.69MW yani 70% ya Watanzania wanatumia kuni na mkaa kea matumizi yao ya upishi 365 days in a year.😂😂😂Hahahaha, hakuna nchi yoyote duniani inayojenga Diesel train. Dunia ipo katika mikakati ya kutumia "clean energy", bado kuna " Primitive community " hadi Leo zinatumia kupikia "Mkaa" Ikulu na kujenga reli zinazotumua Diesel, kweli duniani kuna wendawazimu.
Tatizo ni kujitutumua kuweka ya umeme bila kuzingatia mengine, bora ujenge kama tulivyofanya Kenya, uwekeze kwenye kuifanya iwe thabiti, kisha siku za usoni ndio uwaze mambo ya umeme.
Yaani we unataka na sisi tujenge ya moshi???.. hakuna nchi inajenga railway ya moshi dunia ya leo...only in kenya!!!
3. Inawaadhiri Sana vile wafugaji walio karibu na Reli wanawagongesha mifugo yao maksudi ili wapate fidia.
Si hiyo ya kwenu tuktuk inayochafua hali ya hewa..ukaione wapi tena!?🚂🚂🚂🚂🚂🚂Duh! Railway ya moshi, napenda sana nikaione maana tangu uumbwaji wa dunia hakujatokea kitu kama hicho.
Si hiyo ya kwenu tuktuk inayochafua hali ya hewa..ukaione wapi tena!?🚂🚂🚂🚂🚂🚂
🚂🚂🚂🚂🚂🚂🚂Haijawahi kutengenezwa reli ya moshi dunia hii, hata enzi zile za mababu. Unadhihirisha ulivyo nyuma kiakili kuwazidi hata watu wa enzi zileeee.
show me one embarkment on SGR that looks like this!this derailment costed the Ethiopian government USD 10 million and closed off the railway line for 4weeks.
Btw hizo embankment na slope gradient hazina tofauti na SGR TZ. pia hawajafence reli kwahivyo treni zinagonga wanyama Mara nyingi sana na kusababisha delays.
View attachment 1187801
bora ujenge kama tulivyofanya Kenya”.
Rekebisha hiyo statement. Kenya reli yenu imejengwa na China na Hela za wachina na inaendeshwa na wachina na inabeba mizigo ya china. Na usililinganishe mikebe yenu ya githeri na treni yetu ya umeme ambayo tunajenga kwa hela zetu na kwa nguvu zetu na tutaiendesha sisi watanzania.
Rekebisha hiyo statement. Kenya reli yenu imejengwa na China na Hela za wachina na inaendeshwa na wachina na inabeba mizigo ya china. Na usililinganishe mikebe yenu ya githeri na treni yetu ya umeme ambayo tunajenga kwa hela zetu na kwa nguvu zetu na tutaiendesha sisi watanzania.
Kwanza kabisa kabla sijawaza kurekebisha chochote, naomba uanze wewe, maana hadi sasa hamna reli wala treni ya aina ya mfumo wa SGR Tanzania, huwa tunaskia kunayo inatengenezwa na Mturuki na kuna mapicha mapicha huwa mnatupia kwenye mitandao, lakini kama tujuavyo watu huwa hawatumii mapicha kusafiri.
Sisi ndio tafa pekee EAC ambao tunayo reli iliyojengwa kwa mfumo wa SGR na inatumika na mahesabu yake yanaridhsha hadi raha.
show me one embarkment on SGR that looks like this!
then tell me the difference btn that Ethiopia embarkment and this Kenyan embarkment!
I see two similar poor drainages btn SGR Kenya n SGR Ethiopia!
Mnaongoza mechi kwa first half ila mnaongea sana. Kitu kinakuja 160Km/h. Tutakuwa na fastest train in East Africa na hilo litadumu kwa miaka siyo chini ya 50. Hayo makopo yenu ya diesel mmepaka rangi nyekundu yatakuwa kwenye museum zetu kuwafundishia watoto wetu. “Tulikuwa na jirani aliuziwa mbuzi na mchina kwenye gunia” thats 2040 history lakini
Alafu upate huyu mtz ana miaka 40 na ameambiwa na ccm kuna railway ya moshi. Guy cant even take his time kugoogle small factsYaani we unataka na sisi tujenge ya moshi???.. hakuna nchi inajenga railway ya moshi dunia ya leo...only in kenya!!!