The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Serikali ilisha wahi kufanikisha biashara ipi? Au tasisi gani ya serikali yakujivunia nao?Tanzania ni sehemu pekee ambapo biashara inaweza kufa kutokana na uwepo wa wateja wengi. Kama hali ilivyo kwenye mabasi ya mwendokasi, ndicho kinachoonekana hapa SGR.
TAZARA imewashinda, bado huku kwenye abiria wengi nako kunawashinda sijui wanaza jambo ganiSerikali ilisha wahi kufanikisha biashara ipi? Au tasisi gani ya serikali yakujivunia nao?
TAZARA imewashinda, bado huku kwenye abiria wengi nako kunawashinda sijui wanaza jambo gani
Biashara zinazoendeshwa na serikali ni deals za wakubwa kujineemesha. Ukijua hili wala hutapoteza muda kuyafikiria hayo. Mimi sitapanda hizo SGR na wala sijafikiria. Znapoanza huwa zinasifiwa kwa mbwembwe, unakumbuka hata mwendokasi wakati zinaanza zilisifiwa sana hadi Rais anapanda mwendo kasi kutuaminisha. Kiko wapiSerikali ilisha wahi kufanikisha biashara ipi? Au tasisi gani ya serikali yakujivunia nao?
Kuzisifia sio dhambi kwasababu kiuhalisia kabisa huduma zake zinaonekana kuwa nzuri na kurahisisha huduma ya usafiriBiashara zinazoendeshwa na serikali ni deals za wakubwa kujineemesha. Ukijua hili wala hutapoteza muda kuyafikiria hayo. Mimi sitapanda hizo SGR na wala sijafikiria. Znapoanza huwa zinasifiwa kwa mbwembwe, unakumbuka hata mwendokasi wakati zinaanza zilisifiwa sana hadi Rais anapanda mwendo kasi kutuaminisha. Kiko wapi
Labda TBS sijui TBC au UTTSerikali ilisha wahi kufanikisha biashara ipi? Au tasisi gani ya serikali yakujivunia nao?
Serikali itengeneze miundo mbinu, kisha iachie wawekezajiSerikali ilisha wahi kufanikisha biashara ipi? Au tasisi gani ya serikali yakujivunia nao?
Mfumo mpya labda umeingia virusi..SGR inazidiwaje abiria wakati ticket ni kwa mfumo?
Tena utakuta sio mturuki, bali ni viongozi wa humu humu ndani wataichukua kihuni nyuma ya pazia, kisha watajifanya ni mturuki. Umesahau richmond? Uhuni huo ndio uliofanyika sasa kwenye DP World, watu ni wa humu humu ndani. Juzi wamefanya mauaji makubwa maana wanajua wakitolewa madarakani siri zote zitakaa hadharani, na wao wataishia jela ama kukimbia nchi.Na hiyo wampe mturuki aiendeshe kwa miaka 30.