SGR hali mbaya, imeanza kuzidiwa abiria kama mwendokasi tu

Una roho chafu sana iliyojaa chuki, wivu na kijicho!!
 
Wananchi wenyewe ndo wajinga pumpuni kabisa wasio jielewa!
Hapo utayakuta masomi yamo mle yamerudikwa akili sifuri lakini ukiliuliza linajitapa lina PhD sijui masters ujinga mtupu.

Hivi unawezaje kupanda tren isiyo na uhakika wa kukufikisha?


Mara ngapi umeme umekuwa ukikatika zaidi ya masaa3 abiria wakiwa maporini?

Nchi hii ina wajinga kila sampuli Ndo hayo mnayaona ....kila mara utaona kwa Malisa "Tupazie sauti tumekata ticket tangu sangap hadi sasa tren hatuoni wala hatupewi taarifa zozote "
 

Uko na mimi ila from different angles. Jiulize kwa nini wanang'ang'ania mifumo ya kizamani? Kwa nini usimamizi mbovu? Hiyo mifumo ya kizamani na usimamizi mbovu hauko hivyo kwa bahati mbaya. Utakumbuka pale Ubungo mwendokasi tulikuwa tunaingia kwa kuscan risiti kwa kutumia mashine. Baadaye wakaondoa tukawa tunakata tiket mlinzi anachana kipande unapoingia. Unajua kwa nini? Usijizime data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…