kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Usafiri wa njia ya SGR unapaswa kusajihishwa na shughuli za kiuchumi za wananchi kwenye vituo inakopitia.
Hali ilivyo sasa abiria hawezi kubeba hata kamzigo ka kilo 20 za mchele, nyanya, mboga wala chochote kinachozalishwa kwenye maeneo inakopita SGR. Kifupi kwenye vituo vya SGR hakuna kuuza na kununua mazao ya wananchi kuinua hali zao kiuchumi. Wakazi wanakodoa macho tu SGR ikipita na abiria wanakodolea macho tu nyanya zao hata kama wanazihitaji.
Itengenezwe namna wananchi watauza na abiria wanavyoweza kununua na kusafiri na mazao ya wananchi kwenye maeneo yenye vituo vya SGR. Litengwe behewa la mizigo midogomidogo kama kilo 10 kirudi nyuma.