SGR ikikamilika Bila Bandari ya Bagamoyo malori yatalazimika kupaki

Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Tanzania tuko vizuri sanaaa
 
Kwani biashara ya Malori ni lazima iendelee kuwepo baada ya SGR kukamilika?!! Jiulize kuhusu gharama za kusafitisha mzigo kwa kutumia Malori ukilinganisha na SGR, usalama wa mzigo na muda utakautumika. Ni mfanyabiashara gani mjinga ataacha kusafitisha mzigo kwa SGR atumie Lori ambalo gharama yake itakuwa kubwa kuliko SGR, linachukua muda mrefu na linaweza kupinduka hata nara 3 njiani.

In short biashara ya Malori haitakuwepo tena baada ya SGR kukamilika kwa sababu SGR ina benefits nyingi kuliko Malori. Hayo Malori wayapeleke nchi nyingine ambazo hazina SGR.


Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Navyokuona na akili zako ni kama
 
duuuh
 
 
Kwa Sasa Malori yanabeba mizigo mingi,

Factor, Ni Reli ya Meter gauge haina tofauti sana na Gari,

So they choose either of
Siyo kweli kwamba reli ya meter gauge ni sawa na gari.
Tatizo ni operation na kuna uwezekano std gauge isioneshe tofauti kama wataendesha hivyo hivyo.
 
 
Hiyo ndiyo faida yake na lengo kamili ni kuhakikisha usafirishaji kupitia malori unaisha kabisa kwani ni ghali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…