SGR Isaka-Kigali construction to be launched in December

Kulaunch tena...haha.
Na ya kwanza iko 28% ambayo naishuku sana
😂😂 wanapenda kuzindua sana. Less than 5% of the entire rail from Dar-Isaka, kuzindua hapa na pale. Hawa watu wametapeliwa vizuri sana na emperor.
 

Bro hauko serious,ukisikia tuna tunataja kinyerezi,phase 2,3,4 na hidro power unadhani ni kukula githeli zilizoungua!!!!

Hizi mambo zinaenda kwa mikakati sana,vilaza hawawesi ng'amua.
 
[emoji23][emoji23] wanapenda kuzindua sana. Less than 5% of the entire rail from Dar-Isaka, kuzindua hapa na pale. Hawa watu wametapeliwa vizuri sana na emperor.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana bro.naona kilio kutoka rohoni kwako.
 
Acha ujinga, electric railway has got both options, kama tatizo la Burundi ni UMEME basi watanunua diesel trains kama ninyi washamba, kumbuka Tanzania tumeagoza electronic na diesels trains.

Lakini Burundi hawawezi kukataa electric train, hakuna nchi yoyote ile duniani kwa sasa inayojenga diesel railway, huo ni ujinga na ushamba wenu wakenya.
 
[emoji23][emoji23] wanapenda kuzindua sana. Less than 5% of the entire rail from Dar-Isaka, kuzindua hapa na pale. Hawa watu wametapeliwa vizuri sana na emperor.
Hahahahaha, inakuuma sana, kuna kipindi cha kulima na kupanda, wakati wa kulima hakuna MTU a nayevuna, watu wanakua busy na kazi, wale wavivu na wasio na uvumilivu hutoroka kijijini na kukimbilia mjini. Wakati wa kuvuna ni kuvuna pekee hakuna kulima, sasa hivi ni kulunch pekee, kipindi cha kuzindua kikifika ni kuzindua tu.
 
kl
Bro hauko serious,ukisikia tuna tunataja kinyerezi,phase 2,3,4 na hidro power unadhani ni kukula githeli zilizoungua!!!!

Hizi mambo zinaenda kwa mikakati sana,vilaza hawawesi ng'amua.
kati ya hivyo vinyesi ni gani iko complete?
 
Ahaaa haaa haaa
katika SINDANO iliyo waingia hii ni kali.
 
Wazee wa kulaunch.
Reli bado haijaanza Dar na wanaongelea Kigali[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na GDP ya hio Rwanda inaongelewa inakimbizwa na Mombasa county[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila inawauma mpaka raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…