SGR Isaka-Kigali construction to be launched in December

Soma uelewe. Electric train yahitaji umeme guranteed, kando na national grid. Mambo ya blackouts, power surges na hizo nonsense zote must not involve treni na biashara.
Ethopia net exporter wa ememe are struggling with their electric rail sasa poor Tz je?
Lazima electric rail iwe na guranteed uninterrupted supply. Blackouts kila siku dar, mzigo itabaki wapi?

Bro hauko serious,ukisikia tuna tunataja kinyerezi,phase 2,3,4 na hidro power unadhani ni kukula githeli zilizoungua!!!!

Hizi mambo zinaenda kwa mikakati sana,vilaza hawawesi ng'amua.
 
[emoji23][emoji23] wanapenda kuzindua sana. Less than 5% of the entire rail from Dar-Isaka, kuzindua hapa na pale. Hawa watu wametapeliwa vizuri sana na emperor.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana bro.naona kilio kutoka rohoni kwako.
 
Soma uelewe. Electric train yahitaji umeme guranteed, kando na national grid. Mambo ya blackouts, power surges na hizo nonsense zote must not involve treni na biashara.
Ethopia net exporter wa ememe are struggling with their electric rail sasa poor Tz je?
Lazima electric rail iwe na guranteed uninterrupted supply. Blackouts kila siku dar, mzigo itabaki wapi?
Acha ujinga, electric railway has got both options, kama tatizo la Burundi ni UMEME basi watanunua diesel trains kama ninyi washamba, kumbuka Tanzania tumeagoza electronic na diesels trains.

Lakini Burundi hawawezi kukataa electric train, hakuna nchi yoyote ile duniani kwa sasa inayojenga diesel railway, huo ni ujinga na ushamba wenu wakenya.
 
[emoji23][emoji23] wanapenda kuzindua sana. Less than 5% of the entire rail from Dar-Isaka, kuzindua hapa na pale. Hawa watu wametapeliwa vizuri sana na emperor.
Hahahahaha, inakuuma sana, kuna kipindi cha kulima na kupanda, wakati wa kulima hakuna MTU a nayevuna, watu wanakua busy na kazi, wale wavivu na wasio na uvumilivu hutoroka kijijini na kukimbilia mjini. Wakati wa kuvuna ni kuvuna pekee hakuna kulima, sasa hivi ni kulunch pekee, kipindi cha kuzindua kikifika ni kuzindua tu.
 
kl
Bro hauko serious,ukisikia tuna tunataja kinyerezi,phase 2,3,4 na hidro power unadhani ni kukula githeli zilizoungua!!!!

Hizi mambo zinaenda kwa mikakati sana,vilaza hawawesi ng'amua.
kati ya hivyo vinyesi ni gani iko complete?
 
Ahaaa haaa haaa
katika SINDANO iliyo waingia hii ni kali.
 
Wazee wa kulaunch.
Reli bado haijaanza Dar na wanaongelea Kigali[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na GDP ya hio Rwanda inaongelewa inakimbizwa na Mombasa county[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila inawauma mpaka raha
 
Back
Top Bottom