HOJA SGR iweke utaratibu wa kurekebisha jina kwenye tiketi baada ya mteja kukamilisha malipo

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Huduma ya kukata ticket ya SGR kiwekwe kipengele cha ku-pdate jina ikiwa limekosewa au kubadilisha hata ikiwa kuna charge kidogo.

Maana watu wanapata hasara endapo wakipata dharura ticket haiwezi kufanyiwa update ya jina akasafiria mtu mwingine, hivyo ticket inaenda bure bila kutumika, changamoto hii inatutesa wengi sana.
 
Hata ndege, meli na bus hakuna kubadilisha jina kwenye tiketi
Kwa ndege upo huo utaratibu lkn ni kabla ya masaa 24 na speed boat ukienda ofisin kwao wanakugongea muhur unasafiria kw tareh za mbele ata kama ni week 1 mbele
 
Wewe unaishi kizimkazi?
 
Mnataka muanze tena kulangua tiketi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…