SGR, JNHPP, daraja la Busisi na ndege 13 ni Matumizi mabaya ya madaraka ya Hayati Magufuli. Rais Samia achana navyo

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Mama Samia hongera kwa kazi nzuri.

Kwa hayo niliyotaja hapo juu yalifanywa na Magufuli bila kutushirikisha private sector. Nakuomba ubinafsishe Kwa private sector ili Selikari ikusanye mapato na kulipana posho nzuri huku tukihakikisha wananchi wa vijijini wenye nyumba za ovyo wanalipia pango la nyumba nzuri sawa na watu waliojenga mahekalu mijini.

Ukifanya hivi tutakuenzi, hata vijana wa CHADEMA watakuunga mkono.
 
Ccm waliokata tamaa mko wengi sana.

Hicho ni chama cha mabwanyenye tu na Chawa wachache.
 
Mbona hujaongelea barabara za juu - flyover?
 
Jamani wote mlisema Magufuli akianzisha mamiladi makibwa mengi akasababisha fedha kukosekana. Sasa kwanini mama asiachane nayo ili private sector bdo isinamie? Nini kinawafabya leo kubadilika?
 
Wakati mwingine, sijui huwa unavuta cha Arusha! Haya mawazo ya kipuuzi kwanini unayaleta hapa
 
Hakika jambo jema hata likisemwa kwa ubaya ukweli uonekana bila kificho. Wakati tunaangazia kuifanya bandari ifanye kazi vizuri wapo watu walipenda isiwe hivyo.

Kiufupi napenda kukufahamisha hakuna maendeleo yoyote yatakayofanyika kama nishati inapatikana kwa ghalama kubwa, kwa shida na kwa mgao kama ilivyo sasa. Nchi zote Dunia zenye viongozi wenye fikira pana ni lazima wawekeze kwenye nishati nafuu ili kuchochea uzalishaji viwandani. Hata marekani walifanya project kama za JPM, ila kwa wao walizifanya miaka mingi iliyopita.
 
Yes, Magufuli labda alitumia njia isiyo sahihi kuianzisha na kuanza kuitekeleza miradi hii mikubwa ya kimkakakati..

Lakini ukweli ni kuwa ipo na inaendelea kutekelezwa...

Ni makosa makubwa kushauri kuwa Rais Samia Suluhu Hassan aitelekeze...

Na sikuonei haya kukuambia kuwa ushauri wako ni wa hovyo na haufai hata kuunywea chai...!

Ni pesa nyingi sana zimeshawekezwa katika miradi hii. Mimi sijawahi kuchagua Magufuli wala CCM na wala Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa ujumla siipendi CCM kwa 100%..

Lakini kwenye miradi hii nawashauri, THERE'S NO GOING BACK bila kujali ujinga, upumbavu na udhaifu wa CCM na serikali yao..

Waendelee mpaka waikamilishe. Lakini hawapaswi tena kurudia makosa ya kuiendesha nchi hii kimagufuli - gufuli..!
 
Toa ndege hapo vilivyobakia ni muhimu hata SGR ingengoja kwanza au angepewa mwekezaji atoe hela zake.
Busisi inaunga nchi za rwanda Burundi congo, central afrika na Sudan kusini
 
Wakati mwingine, sijui huwa unavuta cha Arusha! Haya mawazo ya kipuuzi kwanini unayaleta hapa
Hiyo ni siri ya uandishi....kama hujaelewa basi wewe ni mchanga kwenye uandishi wa 'code'
 
Rubbish.
 
Jamani wote mlisema Magufuli akianzisha mamiladi makibwa mengi akasababisha fedha kukosekana. Sasa kwanini mama asiachane nayo ili private sector bdo isinamie? Nini kinawafabya leo kubadilika?
Mkuu uko juu ya bodaboda Nini. Uandishi gani huu?
 
Mkuu Hadi sasa bandari wameshapewa wawekezani toka tarehe Moja mwezi wa November mwaka Jana. Hadi sasa inafanya vizuri?
 
Sijawahi kukusoma umeandika pumba kama ulivyofanya leo. Hii miradi imetafuna fedha ya umma nyingi sana. Pamoja na kwamba viongozi waliopo wanaendelea kupiga cha juu na kujineemesha kupitia hii miradi, lakini ushahuri wa kuachana nayo hii miradi ni wa hovyo.

Serikali haiwajibiki kuiomba private sector pale inapotaka kuanzisha miradi, ingawa ni busara kuihusisha kwenye miradi fulanifulani hasa hisiyo ya kimkakati. Tusijifarague, private sector kwa wawekezaji wa ndani bado uwezo ni mdogo.
 
Uzuri wa nchi yetu Ina watu na mashetani. Wewe ni shetani. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuandika hivi
 
Nilikiwa na check misimamo,,nimegundua kuwa wakati ule munasema bwawa la mwal Nyerere Samia aliache na awape sector binafsi ili waendeshe licha ya kuwa hakuna sector binafsi ilikuwa tayari kuweka trillion 6.5. nilijua mlimaanisha.Hata pale magufuri ailipolazimisha Kila mgodi tuwe na asilimia 16,mlimaanisha nikuwa frastruate wawekezaji..Sasa kama kile kipindi mliona jiwe kakosea basi mama awarudishie hisa zao hayo makampuni ya migodi
 
Huna akili wewe Kima!!!

Hivyo vitu havina manufaa huko kwenu Pemba!! Mambo ya bara tuachieni wenyewe kenge nyie. Tunawajengea huko mabarabara lakini hamna shukrani nyie punda wa kike
 
Sasa nimekuelewa. Ila usirudie ulichoanza kuandika hapo juu
 
Kumbe nawe mbwabwajaji tu. Mama chapa kazi achana na hawa wa dizaini hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…