SGR-Kenya phase IIA on steroids...

SGR-Kenya phase IIA on steroids...

YoungD

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,275
Reaction score
1,332
hapa sio story za renders na kutifua vumbi! kuna ile nongwe Geza Ulole ilileta porojo na uvumi humu ati mchina oohh mchina aahh! haya basi aliye na macho haambiwi tazama!
IMG_20180524_182357_403.JPG


IMG_20180524_182417_154.JPG


IMG_20180524_182508_498.JPG
 
Hiyo ni slogan yetu na siyo ya Uhuru Kenya, ya Uhuru Kenya ni nasa hawa, wakijumlisha ? tunajumlisha, wakitangaza tunatangaza? wakiiba tunaiba, wakinya barabarani? tunakunya, tibim!
kijana. yenu ni hapa kazi tu. pambafff
 
wacha ngombe ya manzese iendelee kujadili slogans..hapa kazi tu kenya
 
we launch phase II in mid 2019...this phase has an industrial park as well..
 
Wabongo wameanza kumfuata Mchina baada ya kumringia, subiri waone shughuli yenyewe, yaani kitu kinachana mbuga, Museveni naye kule ameanza kufyeka vichaka ili kuandaa mahali kifaa kitapitia na kumshukia Mnyarwanda.
 
Back
Top Bottom