SGR Kenya sasa rasmi ni "Big white Elephant", Maneno ya " Ndii yatimia.

Hapa haizungumzii production bali potentional transit goods to/fromr DRC, Burundi, Uganda and our own goods and mineral resources to/from west TZ

DRC? Wewe Ungekuwa manager wa entity iliyopo Kinshasa na unataka ku-import anything, ungepitishia bandari ipi kati ya Benguela na Dar es Salaam?

Secondly; potential means something that is likely to happen subject to some factors being met. What if those factors change or prove unattainable e.g. due to changes in technology? Bado huo mradi utakuwa viable?
 
Wewe uchumi wako upo katika makaratasi, nenda kasaidie kijijini kwenu na ndugu zako wanashida tele. Wasomi wa Africa Maneno kibao lakini hakuna kinachofanyika, angalia Kenya wanaojisifia na wasomi, Zimbabwe ina wasomi hadi wenye degree wanafanya kazi za house keepers.

Unaikumbuka hadithi ya yule jamaa aliyetunga kitabu alichokipa jina la "How to make Money". Alipomaliza kukiandika akawa anatafuta wadhamini ili akakichapishe, kila alipofika alijibiwa kwamba, iweje yeye anawafundisha wenzake jinsi ya kutengeneza pesa, lakini yeye mwenyewe anaomba. Wewe ni mchumi wa katika makaratasi, sidhani Kama una kazi Wewe, bado unazunguka mitaani na vyeti ukitafuta kazi, kwa akili mbovu kiasi hicho, hakuna mwenye akili atakayekupa kazi. Pole sana.
 
Eastern Congo?????????????????????????????????//
 
Usilete excuse za kushindwa kwenu unasingizia wasomi,hakuna nchi ya kiafrika inafuata mawazo ya kisomi usilete upuuzi wako.Kuna msomi gani kakushauri ujenge sgr au stiglaz?
Ila kwa minajiri ya uganga njaa ndio kama hivi unajitoa ufahamu kupapaswa.Unadhani leo hii hadi nani anashauri wenzie kati ya kiongozi wa Africa na wasomi wake? Unaweza mshauri mtu kama Magu ww? Mtu kama Jk ndio ilikuwa golden opportunity thus why he dared kuanzisha mchakato wa katiba mpya kabla wanga kama nyie hamjamjia ucku kumroga kabadili mawazo
 
Hahahahaha, wewe chizi nani akusikilize, wewe mwenyewe njaa tupu inayokusumbua eti usikilizwe, ukiona unalalamikia system za nchi sana, ujue umetupwa nje ya system, endelea kulalamika sisi tunasonga mbele. Magufuli endelea kukaza, wavivu wameshaanza kuhisi joto la jiwe. Waleteeeeeeee, Hahahahaha
 
Nimekuambia usizungumze bila ushahidi, hizo biashara zipi zinazofungwa wakati kila mwaka Tanzania tunaongoza kwa FDI, tena gap kati yetu na anayetufuatia linaongezeka mwaka hadi mwaka?.

Tatizo lako wewe hujui unachokizungumza unapiga domo tupu, Fastjet London walishashindwa biashara na walishatangaza kufunga shughuli zao Tanzania na baadhi ya nchi za Afrika kutokana na ukata, Lawrence Masha ndio akainunua ikiwa katika hali mbaya, sasa unaposema ungejua nani mwenye kuimilikia Fastjet, hiyo ina maana gani kwetu?
 
Sio kosa lako wewe hadi kufanya haya ni vile unafanya kwa msukumo wa tumbo huko nje huna namna ya kusurvive zaidi ya kubebwa kwa ujira wa kujikimu
Watu dizaini yako mko wengi sana ko enjoy yr foolishness,huwezi kuwa na free mind kulingana na hicho kibarua
 
Wewe hata kula hujala, tangu lini mtu mwenye njaa awe na akili, tafuta chakula kwanza
 
Tanzania haijakopa??hahhahaha vyanzo vyako vya taarifa vinakudanganya
 
MFIAUKWEL....BASI KM YEYE HAJAENDA ATAKUWA MJINGA WA HALI YA JUU....BWAHAHAAA...YANI CCM HATARI KW MAISHA YA BINADAMU WALAI...JAMAA ANAKUUTUMA KW WIZARA WAKATI YEYE HAJUI CHOCHOTE...WUHUHUUU
 
Hajui hata maana ya feasibility study. Utapoteza muda wako bure na huyo and his likes. They are sold not to think but sing praises to whatever their god says.

Is the feasibility study can be available in a public domain?
 
Weka ushahidi kuonyesha tumekopa kujenga SGR
Benki ya Standard Chartered Group imekubali kuipatia Tanzania mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46 (Sh trilioni 3.3) zitakazotumika kujenga kipande cha reli ya kisasa (SGR) kati ya Morogoro na Dodoma.

Hayo yamebainishwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, baada ya kukutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bill Winters, Dar es Salaam
 
Eastern Congo?????????????????????????????????//

Same scenario. Eastern DRC sasa hivi ni only feasible kwa kuwa hakuna road/railway netwok inayounganisha east na other parts of DRC. Wakijenga reli au barabara, will the scenario remain as it is now? The fact kwamba hujajibu swali it implies umeelewa. Potential doesn't always translate into reality.
 
Is the feasibility study can be available in a public domain?

Feasibility study sio siri. Na hufanywa si chini ya mwaka - kwa mradi kama wa SGR.

Bado nasubiri mtu aniambie serikali hii ilifanya feasibility study ya SGR lini?
 
heheeee!!watu wa pesa za ndani mpo...yani hawa jamaa ni tabu walai....joto la jiwe, ummayed kujeni mjionee hku..kumbe hta jnia terminal 3 mmekopa....bwahahaaaa...nomaaaaa...mfiaukweli ndugu yangu leo nimeamini km yale madai yako yote ni ya ukwel...yani unawakabali ccm pekeako kutoka mwanzo wa thread mpka sasa...kweli ukweli haupingiki...

https://www.facebook.com/
 
Huu uzi umenielimisha zaidi kuihusu Tanzania, kina joto la jiwe ni waongo na wasiokubali ukweli, Hawa watu wanairudisha Tz nyuma kwa kukataa ukweli wa shida zinazoikumba Nvhi yao.
 
Feasibility study sio siri. Na hufanywa si chini ya mwaka - kwa mradi kama wa SGR.

Bado nasubiri mtu aniambie serikali hii ilifanya feasibility study ya SGR lini?
Feasibility ilifanywa kitambo sana na shuguli ikafungwa hata website iliokuwa imefunguliwa maalum kuonyesha feasibility na kutafuta wafadhili imefungwa (www.dikkmrail.com)
Unaweza ipata hapa kwa web archivesπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Hii nimetoa hapa kwa african development bank


 
Nani aliyesema Terminal 3 ni pesa ya ndani?, acha kujiliwaza. Terminal three ni mradi ulioanzishwa na Kikwete, yeye alikua anakopa kila kitu, alikua kiongozi dhahifu sana kama Uhuru Kenyatta. Miradi tunayotumia pesa yetu ni 1) SGR, 2) Rufiji hydroelectricity 3)Super high way from Dar to Kibaha, weka records zako vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…