SGR Kenya sasa rasmi ni "Big white Elephant", Maneno ya " Ndii yatimia.

Ni chapter 26:4
Answer not a fool according to his folly, lest thou also be like unto him.
Mambo ya dini utayajua tu polepole. Kila la kheri!
 
One of the sane Tanzanian here. Umetoa masisiemu makamasi mpaka wakakimbilia matusi kama kawaida.congrats bro.
 
Jinga hilo, hakuna linachojua, lilidhani litakuwa watu wajinga kama yeye, sidhani kama litarudi tena kuonyesha ujinga wake tena, litarudi huko kwenye forum za wajinga wenzake.
 
Jinga hilo, hakuna linachojua, lilidhani litakuwa watu wajinga kama yeye, sidhani kama litarudi tena kuonyesha ujinga wake tena, litarudi huko kwenye forum za wajinga wenzake.

Umeandika post yako hiyo three minutes ago (na ukijinasibu kuwa."Sidhani kama litarudi..."). Well, am here. Tukana tena maana huna jingine tena la kuandika. And by the way "mwenye akili" mwenzio hajaweza hata sasa kujibu maswali yangu kwenye post #330.
Ciao
 

"Tunajenga kwa pesa zetu" πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ jamaa anajikaanga na mafuta yake yaani. Link yenyewe inasema Tanzania secures $7.6B financing deal ...ni kiingereza hujui ama ni propaganda ime ganda proper?

Mnajenga na pesa gani zenu?
 
 
Jinga hilo, hakuna linachojua, lilidhani litakuwa watu wajinga kama yeye, sidhani kama litarudi tena kuonyesha ujinga wake tena, litarudi huko kwenye forum za wajinga wenzake.
Hata naonea magu hurumaπŸ˜‚πŸ˜‚ Haya ndio maburula ana deal nao kila siku? Hehehe afadhali hata ngombe unaweza mfunza kuingia zizi kwa kupiga binja
 
"Tunajenga kwa pesa zetu" πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ jamaa anajikaanga na mafuta yake yaani. Link yenyewe inasema Tanzania secures $7.6B financing deal ...ni kiingereza hujui ama ni propaganda ime ganda proper?

Mnajenga na pesa gani zenu?

To be fair to him let's acknowledge his ascertation kuwa "baadae tukashindwana" baadae serikali ikaona iendelee na WB na AfDB. Namuomba arudi hapa atuambie kama serikali ina pesa zake yenyewe kuna sababu gani ya "kuendelea na WB na AfDB"? Tumsubiri aje kujibu (na tumruhusu aombe msaada popote apatakapo ili asaidiwe kujibu).
 
Utangoja sana kama haujaona jibu hapo.
Sababu naona una machungu mno, wacha ni kukumbushe kidogo
1) Jiwe yupo ikulu hadi 2025 upende usipende, na yeye ndiye mtawala wako
2) Akitoka tutapea bashite uongozi ndio a deal na nyinyi vizuri, najua unaelewa yeye hapotezi mda na huruma huruma za upuzi kama jiwe
 
Wewe hufuatilii mambo yanayotokea nchini badala yake unapiga kelele za hovyo sana.

Huu mradi wa SGR ulianza serious kipindi cha Kikwete, ajafikia makubaliano na China Exim Bank watukooeshe kiasi hicho cha Pesa $7.6B, ambacho ndio kingekua thamani ya mradi wote hadi Mwanza. Kabla hiyo pesa hawajasaini mikataba, Magufuli akaingia madarakani na kupitia upya, yeye aliamua kuvunja mkataba kutokana na sababu nilizoziekeza hapo juu.

Magufuli hapendelei kujinga hii miradi mikubwa kwa kutumia commercial loans kutokana na sababu nilizokuambia, hupendelea IMF, WB na African Development Bank, ila mchakato wa kupata pesa toka katika vyombo hivi ni mrefu sana, akaamua kujenga kwa pesa za ndani wakati huo huo anaendelea kufanya mazungumzo na non commercial lender kuona kama tutapata mkopo wenye masharti nafuu. Tukipata tutachukua tumalizie, tukikosa basi tutaendelea wenyewe hadi mwisho.

Lengo la kuweka hiyo post yangu, ni kumuonyesha huyu aliyeweka ile taarifa kwamba Standard chartered imekubali kuipa Tanzania pesa, kwamba hata China Exim Bank pia ilikubali lakini hatukuchukua kutokana na masharti kuwa Magumu. Hopeful umeelewa sasa.
 
Eti alifanyia serikali ya Kenya kazi? Labda Kenya ya Pluto.
Sijawahi sikia mtzedi yeyote kwa serikali ya Kenya
 
It is even more scary to Tanzania. Kumbuka production ya Kenya ni more than thrice ya Tanzania which in turn means wana mizigo mingi zaidi yetu. So if that is the case with their SGR, what will happen to ours?

Tanzania ni ya umeme ila kenya ni diesel ,sio mchezo kulisha treni 12 za diesel hapo tegemea hasara kwa Tanzania naimani gharama itakuwa matengezo tu.
Kuhusu mizigo itaongeza maana meli kubwa zitatia nanga Dar kwa sababu kina na magati tunapanua mizigo ya Rwanda ,Uganda ,Dr Congo Na sasa tumeanza kushirikia na Zimbabwe hivyo Rodecia yote tunaweza kuihudumia usihofu tupata faida tu.
 
Tanzania
Tanzania kuna migodi mingi itaitumia hiyo reli Tini,Nickel,Makinikia kutoka migodi ya dhahabu ,viwanda vya Cement nk mizigo ya Rwanda ,Uganda ,Burundi,Congo ,Mizigo ya misaada WfP kitu ambacho kimewaua wakenya ni kwamba hata majirani wao asilimia kubwa wanatumia bandari ya Dar tena kwa maroli hasa Rwanda Na Congo .SGr ya Tz ni Profitable
 

I admire your optimism my fellow Tanzanian. Ila naomba tuangalie na tuukubali ukweli.
Wanaonitukana humu wanasahau ukweli huu:
1. Mimi ni Mtanzania na ningependa watoto wangu wazeeke wakiwa Watanzania.
2. Najua Magufuli leo hii ni Rais wa nchi hii (it doesn't matter nilimpigia kura au la, it doesn't matter whether alishinda kihalali au la). Na anachokifanya kita-impact wajukuu zangu ambao bado ningependa wabaki kuwa Watanzania na wajisikie na kuona fahari ya wao kuitwa na kujitambulisha kuwa ni Watanzania.

Ninajua na ninaamini 120% (kama Watanzania wenzangu wanavyoamini) kuwa ANAKOSEA kwenye mengi. Lakini haina maana kuwa alichokosea na anachokosea HAKIREKEBISHIKI kama tukiwahi. Mnaomsifu and I DARE SAY KINAFIKI (Kwa kuwa tu mnajaza matumbo yenu) MNAUA VIZAZI VIJAVYO VIKIWEMO VYENU WENYEWE
 

Ndugu, unaongelea potential hapa, naomba utafute post yangu kuhusu potential.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…