SGR Kenya sasa rasmi ni "Big white Elephant", Maneno ya " Ndii yatimia.

Kosa unalolifanya wewe ni kwamba unamtazamo mfupi Sana, wewe unazungumzia faida, nani kakuambia tunajenga SGR ili kupata faida?, hivi nikuulize swali, hii barabara ya Dar - Dodoma- Mwanza tuliyojenga, tumepata faida kiasi gani?. Kwasababu tunaputisha MAGARI yetu bure kabla na baada ya kuweka Lami, hakuna tozo yoyote mpya iliyoongezwa ili kulipia gharama ya hiyo Lami, je Serikali haikupaswa kujenga hiyo barabara kwasababu inapata hasara?.
 
joto la jiwe link inasema 2018/2019 deni limepanda kutoka 49tr to 51 tr....bwahahaaa...ishu ya 2013 hapa isiingie kabisa....mimi nafuata facts...deni la tanzania limeongezeka...nmenukuu vizuri sana hii taarifa...na wala hakuja tajwa 2013...kwanza kikwete anahusika vipi na deni la kupanda 2018/2019...bwahahaaaa...msukule hyoooo...kw mitusi hamjambo

https://www.facebook.com/
 
Brother Magu sio malaika na hata sasa kuna watu wanamchukia kwasababu kabana hakuna wizi wa kutupwa kila nikikumbuka Jakaya alivyoambiwa dhaifu kisa kuiachia democrasia ,Tumuache Magu na kwa mapungufu aliyonayo yaweza kuwa ni personal attack za upande wa pili ila kiutendaji Mimi ninampa 120% tuache ajenge nidhani na uwajibikaji tulizoea Waziri anakaa miaka kumi haguswi Leo wako wapi ?
 
joto la jiwe..kwanza vp hyo feasibility study ya sgr jiwe...umeenda kw wizara ukaonyeshwa...manake naona umekwepa hii mada nlipokuuliza...
 
Is the feasibility study can be available in a public domain?

Labda nichangie hapa kama mnasema hakuna feasibility study on Tz SGR basi muwe tayari kukubali kwamba serikali haijakopa kujenga SGR tuache double standard kwenye discussion. Hakuna bank yoyote itakayoweza kutoa mkopo bila feasibility study. Good example China denied Kenya loan for the sgr because there is no feasibility study in place.
 
Mimi ninazungumzia kuhusu terminal 3, wewe unazungumzia deni la taifa. Sisi tunasema tunajenga SGR kwa pesa yetu, hatuja sema katika sector zingine hatukopi, ila katika miradi mikubwa inayohitaji pesa nyingi, hiyo hatukopi. Tofauti na Kenya, ninyi mnakopa kila mradi, midogo na mikubwa, yote mnakopa.
 

Magifuli alikuja kuongezea hela mradi huu ambapo T3 phase two imejengwa kwa pesa za ndani ili kuongeza capacity by 2.5 million from initial capacity of 3.5 m built on phase one.
 

Hiyo EOI covers the whole line from DSM to Rusumo via Isaka
 
Cool down nyanyangu
 
joto la jiwe...katika hhyo taarifa pia inasema uwanja wa jnia terminal 3 pia ipo katika hyo list ya ongezeko la deni....bwahahaa...yani hutaki ukwel leo...wuhuhuuuu!!

sgr pesa za ndani
kibaha pesa za ndani
hzo pesa za madeni zimetumika kufanya kitu gani....bwahaha...au ni miradi hewa...ccm hoyeeeee
 
Dah asee ila ni nchi iliyoendelea hp EAC hawana tabu.watalipa maden.
Bora tz ilivyoboresha metre gauge mapema na wala hailet hasara na ikitimia sgr ya kwetu tz haitaleta hasara km ya hawa wakikuyu.
Nimeamin TRC ni reli nguli EAC na kati
 
It is even more scary to Tanzania. Kumbuka production ya Kenya ni more than thrice ya Tanzania which in turn means wana mizigo mingi zaidi yetu. So if that is the case with their SGR, what will happen to ours?
Tanzania ktk upande wa reli wako vzuri usilinganishe na utumbo wa wakikuyu km metre gauge tu waliiua ndio wanataka ifufua wangeweza iendesha standard gauge ?
Tz upande wa railway ni nguli hp EA wala hatutaleta hasara km hao jamaa
 
Cha kuongezea tz railway ni nguli Africa mashariki na kati na tuna experience kubwa ya uendeshaji.
Ht TRC ilipofirisiwa na wahind ilichukua 2 years kwa sis tz kuisimamisha tena.na huu mwaka wa tatu.inaleta faida kisede.
Asa hao kenya km metre gauge ilitakiwa waifufue wangeweza kuiendesha sgr.watulie tuu
 
Are you sure of what your saying? Our balance of payments is not normal we can face same effects? Moreover its time to learn from our neighbors. The fear is that we can start paying our debt before the project take off
 
Duh kaka aah hapa sasa hamna umezidisha utakua unaleta hasara kaxn ww km ndio hv
 
Are you sure of what your saying? Our balance of payments is not normal we can face same effects? Moreover its time to learn from our neighbors. The fear is that we can start paying our debt before the project take off
Hata sijakuekewa ubachozungumzsma, kulipa deni lipi kabla mradi haujaanza?, unazungumzia mradi upi?
 
Duh kumbe sgr yao ya diesel hawa sio bullet trains za umeme
 
Mradi mwengine huo tunatumia pesa ya ndani. Hahahahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…