SGR Kenya sasa rasmi ni "Big white Elephant", Maneno ya " Ndii yatimia.


Umeandika nilichoandika mapema kabisa and got slated from a certain people. Seems some people are allergic to truths.
 
Unafik wenu ni waajabu, unajifanya hapa eti upo concerned na vizazi vijavyo na nyie mpo mstari wa mbele kuunga mkono walaji kama Accacia, Mikataba mibovu kama bagamoyo.
Siasa zenu tunazijua
 

Labda tuweke records straight here Kenyan heaviest locomotives are DF8B with traction power of 3400KW equivalent to 4500HP pulls less cargo than Tanzanian ordered Electric locomotives with 6500HP. Secondly the Tanzania SGR trains are 2Km long hence pulls more cargo than Kenyan sgr trains with 1 Km length hata njia za kupishana rail Tanzania ni 2km while in Kenya, Ethiopia and Morocco ni 1 km
 
Mm nasoma comments zako zote..sawa..kuna postives na negatives..hebu ntajie positives ulizoona? ...
 
Umeandika nilichoandika mapema kabisa and got slated from a certain people. Seems some people are allergic to truths.

Na bado ya Tanzania inaweza kubeba double stack pia tafuta info sio kujiaminisha kijinga for the sake of arguing.
 
Umeandika nilichoandika mapema kabisa and got slated from a certain people. Seems some people are allergic to truths.
Wewe unazidi kujidhalilisha kwa kumuunga mkono mtu asiyejua kitu, huyo jamaa ni Mkenya, kama kawaida ya wakenya ni watu wabaopenda kujikweza hawana wanachojua ndio sababu miradi yao yote imekwama.
1) Anadai kwamba mradi wetu hadi Mwanza utagharimu $10B, amepata wapi hiyo figure?, yale ya kuzungumzia mambo bila ushahidi. Mwanzoni mradi wote ulikua utumie $7.6B, ndio ambazo wachina walikubali kutoa, Magufuli alipoingia madarakani, akaona ni ghali sana akaamua kufanya tendering upya. Mpaka sasa kutoka Dar hadi Makutopora ni 700Km imetugharimu $3.9B, Kwahiyo hizo 500Km zilizobaki, zitagharimu chini ya $3B. Jumla haitofika $7B.

2)Train moja ya Tanzania itabeba 10,000 tonnes kwa Mara moja, wakati ile ya Kenya inabeba 4000 tonnes. Hii ni sawa na train 2.5 za Kenya kwa train moja ya Tanzania. Kumbuka train za UMEME zinanguvu kuliko za Diesel.

3) Train ya Tanzania ni 35 axle tonnes, wakati ile ya Kenya ni 25 axles tonnes.

Kama kawaida, tunazungumza kwa ushahidi, mwambie huyo mkenya tuwekeane ushahidi kwa kila analosema, sio kuropoka hovyo.
 
Umesahau kitu muhimu:
TZ SGR Ni continous welded hivyo hakuna maintenance ya kubadilisha mabolt na ma nut kila mara
 
Mm nasoma comments zako zote..sawa..kuna postives na negatives..hebu ntajie positives ulizoona? ...

Positives kwenye nini? Assuming una lenga kati ya vitu positive serikali hii inavyofanya; naweza kutaja kuondoa posho na matumizi ya ajabu ajabu (serikali ya Kikwete ilikuwa inanunua greeting cards hadi 75,000/ kwa kadi moja) na safari zisizo na tija (Msekwa na bodi yake ya Ngorongoro - well, it could be TANAPA both used to same thing- walikuwa wanafanyia mikutano yao nje ya nchi).
Having said that; sio sahihi na si haki kumlaumu Magufuli kwa kila kitu tunachoona leo kinaenda vibaya. Matatizo mengine tunayoyaona leo chanzo chake ni makosa yaliyofanyika awamu zilimzomtangulia. Kila awamu ilifanya makosa kwenye maeneo fulani. Tusubiri kidogo tutaona matokeo ya kina Mulugo na wenzake; Watanzania huwa tunasahau kuwa mtoto anaefeli mtihani wa kidato cha nne mwaka huu alianza shule miaka 14 kabla na inawezekana alifeli kwa kuwa kitu kilichotokea akiwa darasa la nne na hakikurekebishwa.

Lakini kuna kosa ambalo tunalifanya consistently (na limefanyika awamu zote): kutojitathmini tunakosea wapi ili turekebishe makosa na badala yake kuanza upya kila serikali mpya inapoingia madarakani. The society that doesn't learn from history is bound to repeat it.

Kukosa ujasiri wa KUKIRI kuwa tunakosea kunasababisha mambo mawili:
1. Kushindwa kusikiliza mawazo mbadala ambayo yangetujenga
2. Kuua ubunifu (maana ubunifu invariably means thinking and doing things differently).

Ndio maana tunatukanwa hapa, why? Waunga mkono serikali wanaunga mkono kila kitu (vivid example fuatilia wabunge wa ccm wanachofanya; kwa mfano ni wao waliounga mkono kwa nguvu zote mabadiliko kwenye sheria ya pensheni - tunaoitwa wapinzani tulipiga kelele tukatoa angalizo juu ya ubovu wa hiyo sheria na tukatukanwa kweli kweli- well, fast forward a few months later wakati utekelezaji umeanza na maumivu yameanza na Rais akatoa tamko la kusimamisha utekelezaji huo wabunge hao hao wakashangilia tena kuwa sheria mbaya Rais kaisimamisha).

Katika mazingira ya namna hii how can we possibly move on? Hivi nyie ccm, hata vitabu vyenyewe hamvisomi? Mwongozo wa CCM unasema hivi: Kujikosoa ni kitendo cha Ushujaa. Hamuishi kama mwongozo wenu unavyosema lakini mkiitwa WAONGO mnalalamika kukashifiwa, REALLY???
 
Umesahau kitu muhimu:
TZ SGR Ni continous welded hivyo hakuna maintenance ya kubadilisha mabolt na ma nut kila mara
Eti huyo ndiye anajifanya kujali vizazi vya baadae, wakati anashabikia kila mtu ambaye yupo kuizungumzia vibaya na kupotosha Ukweli kuhusu Tanzania, kama hafanyi hivyo kwa makusudi, basi inaonekana hujui mambo mengi sana kuhusu SGR ya Tanzania, inampasa atulie ili ajifunze badala ya kujifanya mjuaji.
 
Ndo maana ni lazima Raisi Magufuli aendelee hadi ~ 2035 kama kweli tunataka hii miradi isife kama inavyokufa Kenya vinginevyo akiondoka tu, kwishney!
Hapana.
Mbona mradi wa mabasi ta mwendokasi (BRT) umekuwa wa ovyo sana na yeye yupo anaona?

Hata kama serikali inapata faida lakini umekuwa wa mateso sana kwa watumiaji wananchi wake wanyonge.

Huwezi kupanda kwenye yale magari ukiwa na mtoto wako kwenda hospital au kutembea mjini. Labda mtoto wa mgongoni.
 
Elewa vizuri mandhari ya uongizi wa JPM:
1) JPM lengo lake ni kufanya ReCurrent expenditure to reduce ili awe na balanced budget( Which is a good thing)Na moja wapo ya binu ni ku reduce pension payments..Lakini yeye ni rais msikivu hata kama kuna tija ya ku balance budget the effect on retired workforce was too harsh

2) Mara ngapi umeona JPM akiitisha mikutano na wachimbaji wandogo wandogo, wana biashara etc? Tena anawaambia hiyo mikutano wasije hapo kumuimbia pambio wamweleze shida zao bayana hata zenye watendaji wake wamesababisha.

Hii ni serikali sikivu kwa wananchi, wakulima na wafanya biashara wa aina zote, lakini haifai kamwe kupoteza mda kusikiza pumba na kiki za wapinzani na utumbo wao
 
BRT inafadhiliwa na pesa za WB. Shida ya mabasi chache inaweza tatuliwa haraka sana kama wananchi watakubali kodi za petroli ziongezwe, kama hilo litakuwa chungu mno basi muwe na subira WB waendelee kufadhili polepole tu hatimaye kila kitu kitakuwa shwari
 
Ndo maana ni lazima Raisi Magufuli aendelee hadi ~ 2035 kama kweli tunataka hii miradi isife kama inavyokufa Kenya vinginevyo akiondoka tu, kwishney!
Hiyo 2035 atakuongoza wewe na mke/kimada wako.
 
Waruhusu hayo mabasi yaliyo kwama bandari kama bado.

Hali ni mbaya sana. Wote tunaopenda maendeleo na tunaomtetea Mh.Magufuli tuwe wakweli kwa hili.

Natamani siku moja angevizia hasa majira ya mchana akaenda kupanda mabasi haya kimya kimya.

Nimeshuhudia watoto wa shule wanalia sana wanafinywa na kubanwa.

Mwanzo mradi tulikuwa tunaweza kupanda na watoto au wagonjwa lakini sasa ni hali mbaya mno. Sio watu wote wana uwezo wa kupanda Taxi au Uber.
 
Serikali sikivu? Daaah!!
Yes sikivu kwa wananchi sio wanasiasa, mara gapi umeona JPM akitofautiana na wanasiasa hadi wa CCM?
Jiulize na wewe mwenzangu. Eti nia nzuri ni kupunguza pension payments! Imebidi nisome mara mbili mbili kujiridhisha kuwa macho yangu hayajaanza kunidanganya.
Ofcourse, One of the ways of having a balanced budget and not relying on donors is either to raise taxes or reduce recurent expenditure including dialing back pension payments..Would you like a balanced budget or do you want a massive deficiet?
There is no magic in balancing the budget, either way someone has to pay
 
Mm sio mtu wa chama chochite..mm napenda maendeleo ..tu kwa Tz..kuna vitu naona ni muhimu na vinapatiwa na kuna vitu naona hapa kweli ni shida na vinakosewa...kuhusu ku learn from history nmeona rais kajitahid sana ku learn from it..mfano..
Ntaongelea project kubwa kubwa
1..Sheria za Madini kubadilika..madini yalikuwa yanahitaji udhibit mkubwa kumbuka madin yanaisha..tulihitaji kudhibit..watu wa nje kiukwel walitaka kunyonya sana nchi na watu wengne wa ndan tena vyama vya upinzan wanapewa % zao ili kuila nchi
2..kuhusu stiglers gorge kuna mambo mawili nayaona...umeme ni muhimu sana kwa taifa hasa umeme cheap ambayo hydro ndo cheapest..umuhimu wake ni bei umeme kushuka cause ya supply pia sio vzur ukasubir nchi iingie kwenye shida ya Umeme kama SA na Nigeria wanayoipata sa hiz..sijajua kuhusu effiecncy ya bwawa kama litakuwa linaweza kutoa 2100 kwa wakati wote ..cause Tz kuna kipind cha ukame.. Sasa ..kuhusu bwawa kuwa USD 3bn sina uhakika kama hyo tu itatosha....maana mabwawa mengne yamecost zaid..ila so far na support ujenz wake ....unajua ujenzi wa Kinyerezi 1 Extension umecost karibia USD 200mil na hizo ni 185mw ..umeme wa Geothermal ni costful sana pia imagine Ngozi Geothermal 200MW itacost USD 800mil..kama tunaweza kupata 2100mw ..ni vzur zaid..
3...SGR .sgr kiukweli haiwez kuisha ndani ya miaka iliyosemwa..ukizingatia DaR -Moro iko 50%..inamaana hadi mwakan ndo kipande hicho kitaisha..na ni kweli sgr phase 2 hela imekopwa Standard chat ...according to wazir...ila ni muhimu sana ..kwenye ku unlcok corridor..itasaidia kusafirisha watu haraka na mimzigo haraka ..Dar mwanza ndan ya 10hrs ..its a big achivment ikija kuisha..na hvyo economically multiplying effect itakuwa kubwa..mm naona ina umuhimu sana..na kama tunataka iwe na faida zaid inabid tujenge viwanda along the corridor...uwekezaji

4..Air Tanzania...ina wakati mgumu hasa kwenye ku compete na Ethi na KQ...ijarbu kuwa the best domestically..na pia Regionally...ili Dar iweze kutumika kama Hub..competion iko kubwa sana..but it was a good thing to revive it..hasa kwa domestic..usiniambie kuhsu fastjet maana sijui

5.Social Services tangu kuingia kwa phase 5...
Education..sijaskia wanafunzi wamegoma ..mikopo iko on tym...tena electronically vyuo vingine,ujenzi wa hostel.Ud,Mzumbe....ujenzi wa Library MUST mbeya...ingwa kwenye hili naona edu curriculum yetu inabid ibadilishwe
.
Maji na Afya ..nadhan umejionea ujenzi wa Health centre na Hospital wilayan..na mitandao ya maji na umeme inavyokuwa..hio ndo kazi ya serikali

6.bureau de change..umeona baada ya buerau kuwekwa sawa dollar imekuwa stable au hujaona

7.Ports expansion.
mtwara na Dar zinapanuliwa kwa kasi..ni muhimu kwa private sector
8.BRT
Mm na support..kama udart haitalipa kodi mabasi..sasa serikali itakuwa ina double standard..walipe kodi waendeshe au lasibyo tuwatoe..the fact kwamba viongozi hawajafanyia kazi hili haswa tamisemi...ni dalili ya uongozi
Mbaya..na kutosiamamia vzur
Negatives.
1.FDIimeshuka..ila kumbuka..lazima mikataba ibadilishwe kusaidia taifa...wazungu watasema kila kitu ila na wao unahis wana nia nzur..umefwatilia nchin kwao wenyewe ni mashda matupu kwenye siasa...Waon ndo walifanya mabaa yatokee libya..kwa hyo hawa whites sio kila wanachosema uwasikilize..wanakataza tusijenge stigler cause wanajua watuuzia gas...ili tutengeneze umeme.so vitu vingne kujiongeza..on our side tuwe good negotiators na ku fast track investments sio kujibishana vbaya
.mfano inabid viwanda hasa cha mbolea..kiwe kishaanza kujengwa tuwe fast kwnye ku make good decision
2.Democracy at point imeminywa ...huu ni ukwel..na hili sio jambo zuri kwa taifa.
3.Ku spend bil 500 kila mwaka kwa AtC ..biashara ya ndege ni ngumu..kiukwel..ila mm naona we are spending much on buying aeroplanes..mara ya kwanza sikuona mbaya..ila tukiendelea..tuatumia pesa nyng kwenye biashara ambayo sio nzur
4.Wizara nynge kutopata hela..yan hela haziwi distributed vzur..hii inafanya imani ya wanachi kupungua juu ya serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…