Positives kwenye nini? Assuming una lenga kati ya vitu positive serikali hii inavyofanya; naweza kutaja kuondoa posho na matumizi ya ajabu ajabu (serikali ya Kikwete ilikuwa inanunua greeting cards hadi 75,000/ kwa kadi moja) na safari zisizo na tija (Msekwa na bodi yake ya Ngorongoro - well, it could be TANAPA both used to same thing- walikuwa wanafanyia mikutano yao nje ya nchi).
Having said that; sio sahihi na si haki kumlaumu Magufuli kwa kila kitu tunachoona leo kinaenda vibaya. Matatizo mengine tunayoyaona leo chanzo chake ni makosa yaliyofanyika awamu zilimzomtangulia. Kila awamu ilifanya makosa kwenye maeneo fulani. Tusubiri kidogo tutaona matokeo ya kina Mulugo na wenzake; Watanzania huwa tunasahau kuwa mtoto anaefeli mtihani wa kidato cha nne mwaka huu alianza shule miaka 14 kabla na inawezekana alifeli kwa kuwa kitu kilichotokea akiwa darasa la nne na hakikurekebishwa.
Lakini kuna kosa ambalo tunalifanya consistently (na limefanyika awamu zote): kutojitathmini tunakosea wapi ili turekebishe makosa na badala yake kuanza upya kila serikali mpya inapoingia madarakani. The society that doesn't learn from history is bound to repeat it.
Kukosa ujasiri wa KUKIRI kuwa tunakosea kunasababisha mambo mawili:
1. Kushindwa kusikiliza mawazo mbadala ambayo yangetujenga
2. Kuua ubunifu (maana ubunifu invariably means thinking and doing things differently).
Ndio maana tunatukanwa hapa, why? Waunga mkono serikali wanaunga mkono kila kitu (vivid example fuatilia wabunge wa ccm wanachofanya; kwa mfano ni wao waliounga mkono kwa nguvu zote mabadiliko kwenye sheria ya pensheni - tunaoitwa wapinzani tulipiga kelele tukatoa angalizo juu ya ubovu wa hiyo sheria na tukatukanwa kweli kweli- well, fast forward a few months later wakati utekelezaji umeanza na maumivu yameanza na Rais akatoa tamko la kusimamisha utekelezaji huo wabunge hao hao wakashangilia tena kuwa sheria mbaya Rais kaisimamisha).
Katika mazingira ya namna hii how can we possibly move on? Hivi nyie ccm, hata vitabu vyenyewe hamvisomi? Mwongozo wa CCM unasema hivi: Kujikosoa ni kitendo cha Ushujaa. Hamuishi kama mwongozo wenu unavyosema lakini mkiitwa WAONGO mnalalamika kukashifiwa, REALLY???
Mm sio mtu wa chama chochite..mm napenda maendeleo ..tu kwa Tz..kuna vitu naona ni muhimu na vinapatiwa na kuna vitu naona hapa kweli ni shida na vinakosewa...kuhusu ku learn from history nmeona rais kajitahid sana ku learn from it..mfano..
Ntaongelea project kubwa kubwa
1..Sheria za Madini kubadilika..madini yalikuwa yanahitaji udhibit mkubwa kumbuka madin yanaisha..tulihitaji kudhibit..watu wa nje kiukwel walitaka kunyonya sana nchi na watu wengne wa ndan tena vyama vya upinzan wanapewa % zao ili kuila nchi
2..kuhusu stiglers gorge kuna mambo mawili nayaona...umeme ni muhimu sana kwa taifa hasa umeme cheap ambayo hydro ndo cheapest..umuhimu wake ni bei umeme kushuka cause ya supply pia sio vzur ukasubir nchi iingie kwenye shida ya Umeme kama SA na Nigeria wanayoipata sa hiz..sijajua kuhusu effiecncy ya bwawa kama litakuwa linaweza kutoa 2100 kwa wakati wote ..cause Tz kuna kipind cha ukame.. Sasa ..kuhusu bwawa kuwa USD 3bn sina uhakika kama hyo tu itatosha....maana mabwawa mengne yamecost zaid..ila so far na support ujenz wake ....unajua ujenzi wa Kinyerezi 1 Extension umecost karibia USD 200mil na hizo ni 185mw ..umeme wa Geothermal ni costful sana pia imagine Ngozi Geothermal 200MW itacost USD 800mil..kama tunaweza kupata 2100mw ..ni vzur zaid..
3...SGR .sgr kiukweli haiwez kuisha ndani ya miaka iliyosemwa..ukizingatia DaR -Moro iko 50%..inamaana hadi mwakan ndo kipande hicho kitaisha..na ni kweli sgr phase 2 hela imekopwa Standard chat ...according to wazir...ila ni muhimu sana ..kwenye ku unlcok corridor..itasaidia kusafirisha watu haraka na mimzigo haraka ..Dar mwanza ndan ya 10hrs ..its a big achivment ikija kuisha..na hvyo economically multiplying effect itakuwa kubwa..mm naona ina umuhimu sana..na kama tunataka iwe na faida zaid inabid tujenge viwanda along the corridor...uwekezaji
4..Air Tanzania...ina wakati mgumu hasa kwenye ku compete na Ethi na KQ...ijarbu kuwa the best domestically..na pia Regionally...ili Dar iweze kutumika kama Hub..competion iko kubwa sana..but it was a good thing to revive it..hasa kwa domestic..usiniambie kuhsu fastjet maana sijui
5.Social Services tangu kuingia kwa phase 5...
Education..sijaskia wanafunzi wamegoma ..mikopo iko on tym...tena electronically vyuo vingine,ujenzi wa hostel.Ud,Mzumbe....ujenzi wa Library MUST mbeya...ingwa kwenye hili naona edu curriculum yetu inabid ibadilishwe
.
Maji na Afya ..nadhan umejionea ujenzi wa Health centre na Hospital wilayan..na mitandao ya maji na umeme inavyokuwa..hio ndo kazi ya serikali
6.bureau de change..umeona baada ya buerau kuwekwa sawa dollar imekuwa stable au hujaona
7.Ports expansion.
mtwara na Dar zinapanuliwa kwa kasi..ni muhimu kwa private sector
8.BRT
Mm na support..kama udart haitalipa kodi mabasi..sasa serikali itakuwa ina double standard..walipe kodi waendeshe au lasibyo tuwatoe..the fact kwamba viongozi hawajafanyia kazi hili haswa tamisemi...ni dalili ya uongozi
Mbaya..na kutosiamamia vzur
Negatives.
1.FDIimeshuka..ila kumbuka..lazima mikataba ibadilishwe kusaidia taifa...wazungu watasema kila kitu ila na wao unahis wana nia nzur..umefwatilia nchin kwao wenyewe ni mashda matupu kwenye siasa...Waon ndo walifanya mabaa yatokee libya..kwa hyo hawa whites sio kila wanachosema uwasikilize..wanakataza tusijenge stigler cause wanajua watuuzia gas...ili tutengeneze umeme.so vitu vingne kujiongeza..on our side tuwe good negotiators na ku fast track investments sio kujibishana vbaya
.mfano inabid viwanda hasa cha mbolea..kiwe kishaanza kujengwa tuwe fast kwnye ku make good decision
2.Democracy at point imeminywa ...huu ni ukwel..na hili sio jambo zuri kwa taifa.
3.Ku spend bil 500 kila mwaka kwa AtC ..biashara ya ndege ni ngumu..kiukwel..ila mm naona we are spending much on buying aeroplanes..mara ya kwanza sikuona mbaya..ila tukiendelea..tuatumia pesa nyng kwenye biashara ambayo sio nzur
4.Wizara nynge kutopata hela..yan hela haziwi distributed vzur..hii inafanya imani ya wanachi kupungua juu ya serikali