Kwa hiyo unashauri abaki kwa ajili ya kulinda SGR? Kweli? Ina maana hataki kupumzika mzee wetu?Ndo maana ni lazima Raisi Magufuli aendelee hadi ~ 2035 kama kweli tunataka hii miradi isife kama inavyokufa Kenya vinginevyo akiondoka tu, kwishney!
Hao ni serikali na si private (equity) company.
Lkn Kenya wanalazimishia private business people to use the facility.
Na yale mabasi yanayolazimishwa kuingia stand ili walipe ushuru (wakati hakuna abiria anaepanda au anaeshuka) nayo ni ya umma?
Hajielewi msamehe bure[emoji16][emoji23][emoji1787]
Tumetoka kwenye SGR Kenya mpaka mabasi.
Basi wewe mshindi.
Na yale mabasi yanayolazimishwa kuingia stand ili walipe ushuru (wakati hakuna abiria anaepanda au anaeshuka) nayo ni ya umma?
πππ€£
Tumetoka kwenye SGR Kenya mpaka mabasi.
Basi wewe mshindi.
Hivi wewe ukiwa na Duka lako linauza nguo, ni busara kwenda kununua nguo za familia yako katika Duka lingine?,The point is; serikali kulazimisha facilities kutumika. Mbona nilitoa mfano wa bima; au bima nayo ni SGR ya kikwenu? Or you are too dumb to see the similarities in your own argument (if one can be so generous as to call whatever you wrote here as an argument)?
Hivi wewe ukiwa na Duka lako linauza nguo, ni busara kwenda kununua nguo za familia yako katika Duka lingine?,
ahaaa enyewe hii ni white elephant kweli