SGR Kenya sasa rasmi ni "Big white Elephant", Maneno ya " Ndii yatimia.

SGR Kenya sasa rasmi ni "Big white Elephant", Maneno ya " Ndii yatimia.

Ndo maana ni lazima Raisi Magufuli aendelee hadi ~ 2035 kama kweli tunataka hii miradi isife kama inavyokufa Kenya vinginevyo akiondoka tu, kwishney!
Kwa hiyo unashauri abaki kwa ajili ya kulinda SGR? Kweli? Ina maana hataki kupumzika mzee wetu?
 
Hao ni serikali na si private (equity) company.
Lkn Kenya wanalazimishia private business people to use the facility.

Na yale mabasi yanayolazimishwa kuingia stand ili walipe ushuru (wakati hakuna abiria anaepanda au anaeshuka) nayo ni ya umma?
 
😁😂🤣
Tumetoka kwenye SGR Kenya mpaka mabasi.
Basi wewe mshindi.

The point is; serikali kulazimisha facilities kutumika. Mbona nilitoa mfano wa bima; au bima nayo ni SGR ya kikwenu? Or you are too dumb to see the similarities in your own argument (if one can be so generous as to call whatever you wrote here as an argument)?
 
Hivi wewe ukiwa na Duka lako linauza nguo, ni busara kwenda kununua nguo za familia yako katika Duka lingine?,
 
Hivi wewe ukiwa na Duka lako linauza nguo, ni busara kwenda kununua nguo za familia yako katika Duka lingine?,

Kwa mantiki yako hiyo basi inapaswa kila mtu ajifanyie kila anachokihitaji. Uwe na duka linalouza kila kitu (sio nguo tu bali na bidhaa zote unazozihitaji), na ukitaka kusafiri uwe na chombo chako cha usafiri. Si ndio?

Hizo ni akili za ki-ccm.
 
Back
Top Bottom