Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Yaani huu mjadala baada ya kujenga hoja za maana mnaingiza siasa, Sasa nasema mm 2015 nilimpa kura magufuli ila now naomba malaika waje wamchukue magufuli waturudishie mengi.
Na hata siasa wanayoleta ni wishful thinking. Mtu anaamini kabisa kuna possibility ya mtu kusafirisha mzigo kutoka Dar hadi Uganda kwa nusu ya gharama za kutoka Mombasa kwenda Uganda. Seriously??!!