SGR Kenya sasa rasmi ni "Big white Elephant", Maneno ya " Ndii yatimia.

Yaani huu mjadala baada ya kujenga hoja za maana mnaingiza siasa, Sasa nasema mm 2015 nilimpa kura magufuli ila now naomba malaika waje wamchukue magufuli waturudishie mengi.

Na hata siasa wanayoleta ni wishful thinking. Mtu anaamini kabisa kuna possibility ya mtu kusafirisha mzigo kutoka Dar hadi Uganda kwa nusu ya gharama za kutoka Mombasa kwenda Uganda. Seriously??!!
 
Kuna haja gani kujibu swali ambalo linadhihirisha mtu hajui hata anachokiuliza? Ukimjibu baada ya kurekebisha swali lake jibu lake atalielewa? Some concepts can always be understood after investing a considerable time in education.
Hapana, unakosea sana. Ukweli ni kwamba, Kenya kwa sasa production yao ya viwandani ipo chini sana, wewe uliposema Kenya's production ni thrice ya Tanzania, ulipaswa uweke ushahidi, hilo jambo sio kweli ndio sababu amekuuliza.
 
Thank you very much. Which means now Magufuli anachokifanya ni kuua 97% of employment na 75% of investment. What then will happen to the economy of the country?
 
You just proved your myopic thinking. My "more than thrice" production was meant to be considered in production by country in general (including services). Unajua balance sheet size ya Kenya? How do you compare that with ours?
If you can't feed yourself what else can we say about you, considering life in itself depends on it?
 
Hapana, unakosea sana. Ukweli ni kwamba, Kenya kwa sasa production yao ya viwandani ipo chini sana, wewe uliposema Kenya's production ni thrice ya Tanzania, ulipaswa uweke ushahidi, hilo jambo sio kweli ndio sababu amekuuliza.

Ushahidi gani unaouhitaji? Last month Macron alienda Kenya na waka-sign kujenga kiwanda cha magari ya Peugeot Kenya, unadhani wangefikia uamuzi huo kama kusingekuwa na soko Kenya? Kuna International companies ngapi zenye presence Tanzania? Kenya zipo ngapi?

Let's face it and accept the fact that we have a long way to go kuwafikia Kenya hapo walipo. Hii ya kujidanganya kuwa tunafanya vizuri na kujisifia ujinga ni kujimaliza wenyewe.
 
Ndo maana ni lazima Raisi Magufuli aendelee hadi ~ 2035 kama kweli tunataka hii miradi isife kama inavyokufa Kenya vinginevyo akiondoka tu, kwishney!
hapo ndio ulipokosea.
 
If you can't feed yourself what else can we say about you, considering life in itself depends on it?

Your failure to answer my questions speaks volumes in itself.
Who feeds Kenya by the way? Does Japan produce enough food to meet its internal demand? Unajua concept ya comparative advantage?
 
Thank you very much. Which means now Magufuli anachokifanya ni kuua 97% of employment na 75% of investment. What then will happen to the economy of the country?
Private sector is already dominant..But you need to understand that their objective is only profit..Look for example at fastjet vs Atcl..bei imeshuka ya kupanda ndege which is a good thing for the common man.
Private sector is just crying loud because they will now not enjoy unchecked profiteering at the expense of the common man
 
Wewe unashida ya kukariri hoja bila kuelewa. Soko la gari mpya kenya ni 5%. Na 3/4 ya hiyo soko ni idara za serikali..
Peugeot wapo kenya sio kuhudumia soko la watu kawaida mbali kufyonza pesa ya serikali (Tender prenureship)
 
It is even more scary to Tanzania. Kumbuka production ya Kenya ni more than thrice ya Tanzania which in turn means wana mizigo mingi zaidi yetu. So if that is the case with their SGR, what will happen to ours?
Tanzania is a mining country! U can't compare with Kenya! The nickel in Kabanga and Burundi needs a rail to be transported!
 
Kaka jaribu kutafuta habari ili uwe "informed", KaBlam ya kuchangia. WFP walikua wanatumia barabara kusafirisha mizigo toka Mombasa kwenda Uganda, reli ya zamani ya Kenya haifanyi kazi, na hawawezi kutumia SGR ya Kenya kwasababu haijafika Uganda. Tulipofufua hii yetu ya zamani na kuwa na ufanisi, ndio sababu imekua cheap kuliko kutumia barabara.

Kuhusu hayo mahesabu ya kwamba electric trains ni 30-40% cheaper kuliko diesel, hayo ni mambo ya kitaalamu, unaweza kutumia Google ukaelewa wanefikaje huko.
 
This is our actual problem in Tanzania; creating fiction and publicising it as truth. Tangu Fastjet waondoke bei ya ticket imepanda mno. On average kipindi Fastjet wapo KIA - Dar ilikuwa inagharimu chini ya laki 2 one way ukikata tiketi ndani ya wiki (Ilikuwa 115,000) ukifanya booking mapema zaidi. Leo hii utakuwa na bahati kupata tiketi ya laki 2. Unaiita hiyo advantage?
 
Wacha kudanganya kipindi cha Rooselvelt kulikuwa hamna term limit in the US!
 
Ndo maana ni lazima Raisi Magufuli aendelee hadi ~ 2035 kama kweli tunataka hii miradi isife kama inavyokufa Kenya vinginevyo akiondoka tu, kwishney!
Wewe ni miongoni mwa watu wasio na akili, wewe na wenzio mnaoshabikia
usoshalisti wa Magu, hivi unadhani miradi hiyo ya kijamaa italeta faida? Hifadhi haya maneno utaniambia...Katika miradi ya Magu ambao namuunga mkono ni Stiglers godge tu ila ndege, Sgr ni hasara tu
 
Kwa kuwa ti hauoni hivyo haimaanishi kwamba ni sawa!
 
Kaka weka ushahidi kuonyesha kwamba production ya Kenya ni thrice ya Tanzania, sio kutumia mikataba. Rwanda inazalisha gari za Peugeot hiyo haina maana kwamba production ya Rwanda ni thrice. Hivi kweli katika nchi ambayo basic needs kama maji safi na salama, chakula, ajira, nyumba na Afya ni shida, eti unafurahia kuanzishwa kiwanda cha MAGARI, really?
 
Soma heading na linganisha hoja yangu na ulichokiandika hapa.
What is the issue? SGR in Kenya being a white elephant. Why so? Lack of sufficient cargo.

My opinion? If Kenya (which is a bigger economy and produces more than us) is struggling to get enough cargo to utilise their SGR what will be the fate of our own?

What did you bring here? Comparison of road haulage cost from Mombasa to Uganda and railway haulage cost from Dar to Uganda.

Are we reading from the same book?
 
Your failure to answer my questions speaks volumes in itself.
Who feeds Kenya by the way? Does Japan produce enough food to meet its internal demand? Unajua concept ya comparative advantage?
Kenya unategemea sana food donation kulisha raia wao wanaokufa kwa njaa.
 
It is even more scary to Tanzania. Kumbuka production ya Kenya ni more than thrice ya Tanzania which in turn means wana mizigo mingi zaidi yetu. So if that is the case with their SGR, what will happen to ours?

Jawabu lilikuwa bandari ya bagamoyo which you have refused to implement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…