It is even more scary to Tanzania. Kumbuka production ya Kenya ni more than thrice ya Tanzania which in turn means wana mizigo mingi zaidi yetu. So if that is the case with their SGR, what will happen to ours?
Kaka weka ushahidi kuonyesha kwamba production ya Kenya ni thrice ya Tanzania, sio kutumia mikataba. Rwanda inazalisha gari za Peugeot hiyo haina maana kwamba production ya Rwanda ni thrice. Hivi kweli katika nchi ambayo basic needs kama maji safi na salama, chakula, ajira, nyumba na Afya ni shida, eti unafurahia kuanzishwa kiwanda cha MAGARI, really?
Mimi bora wamchukue BASHITEYaani huu mjadala baada ya kujenga hoja za maana mnaingiza siasa, Sasa nasema mm 2015 nilimpa kura magufuli ila now naomba malaika waje wamchukue magufuli waturudishie mengi.
Really we are not reading the same book, the problem with you is that you tend to assume things instead of taking your time to understand the subject. Who told you that Kenya SGR is making loss because it doesn't get enough cargo?. Soma vizuri hiyo article utaelewa acha kukurupuka, mpaka sasa mizigo inayobebwa na SGR haijafika hata 20% ya mizigo yote inayopitia Mombasa port wakati lengo ni kubeba 40%. Kaka inaonekana hufahamu haya mambo kwa undani.Soma heading na linganisha hoja yangu na ulichokiandika hapa.
What is the issue? SGR in Kenya being a white elephant. Why so? Lack of sufficient cargo.
My opinion? If Kenya (which is a bigger economy and produces more than us) is struggling to get enough cargo to utilise their SGR what will be the fate of our own?
What did you bring here? Comparison of road haulage cost from Mombasa to Uganda and railway haulage cost from Dar to Uganda.
Are we reading from the same book?
So is 97% private sector controlled jobs and 75% investments is Fiction??This is our actual problem in Tanzania; creating fiction and publicising it as truth. Tangu Fastjet waondoke bei ya ticket imepanda mno. On average kipindi Fastjet wapo KIA - Dar ilikuwa inagharimu chini ya laki 2 one way ukikata tiketi ndani ya wiki (Ilikuwa 115,000) ukifanya booking mapema zaidi. Leo hii utakuwa na bahati kupata tiketi ya laki 2. Unaiita hiyo advantage?
1)Kenyan Tea/Coffee producers have quit SGR,Its too expensive to ferry with SGRSoma heading na linganisha hoja yangu na ulichokiandika hapa.
What is the issue? SGR in Kenya being a white elephant. Why so? Lack of sufficient cargo.
My opinion? If Kenya (which is a bigger economy and produces more than us) is struggling to get enough cargo to utilise their SGR what will be the fate of our own?
What did you bring here? Comparison of road haulage cost from Mombasa to Uganda and railway haulage cost from Dar to Uganda.
Are we reading from the same book?
Really we are not reading the same book, the problem with you is that you tend to assume things instead of taking your time to understand the subject. Who told you that Kenya SGR is making loss because it doesn't get enough cargo?. Soma vizuri hiyo article utaelewa acha kukurupuka, mpaka sasa mizigo inayobebwa na SGR haijafika hata 20% ya mizigo yote inayopitia Mombasa port wakati lengo ni kubeba 40%. Kaka inaonekana hufahamu haya mambo kwa undani.
Yap in East Africa, except for Kenya, we are exporting maize to Zimbabwe now.So; to you production means production of food? Do all countries in the world produce enough food for their consumption? Strange logic this!
So is 97% private sector controlled jobs and 75% investments is Fiction??
Boss the pivate sector in Tz has been running their affairs with too much freedom and impunity..Hata leo enda ulaya ungalie wapi kazi zote ( 97%) zinamikikiwa na private sector
Wewe umetoa mfano wa Macron kusaini ujenzi wa kiwanda kama dalili ya kupanda kwa production ambayo umesema ni 3x, kwanini usiseme kuhusu njaa inayoikumba Kenya kila mwaka, au upingufu wa ajira ulivyomkubwa Kenya?, hivi ndio viashiria vinavyoonyesha kwamba production ni ndogo kuliko Tanzania.Wewe umeona la kiwanda tu? Don't be myopic; read the whole lot and come back if you still don't get the message.
By the way; hayo matatizo uliyoyaandika hapa Tanzania hayapo? Simple question; how do you compare the balance sheets of Kenya and Tanzania? Vinalingana?
Una uwezo mdogo sana wa kufikiri ndugu yangu mtanzania.Tangu lini akili iliyotrngeneza tatizo ikatumika kutengeneza tatizo?Vijana wa CCM nani kawaroga jamani!Ndo maana ni lazima Raisi Magufuli aendelee hadi ~ 2035 kama kweli tunataka hii miradi isife kama inavyokufa Kenya vinginevyo akiondoka tu, kwishney!
Your failure to answer my questions speaks volumes in itself.
Who feeds Kenya by the way? Does Japan produce enough food to meet its internal demand? Unajua concept ya comparative advantage?
Naomba uniletee number jinsi production Kenya ni thrice ya TzWhere do you get those assumptions? On what basis? And how does 40% turn into 50%?
Na uliandika kuwa WFP wamehamishia route yao Dar to Mwanza to South Sudan kwa kuwa "reli imeboreshwa" and by implication ni cheaper kuliko route ya Mombasa. How is that possible? Leo hii route ya Dar - Kampala haina train ya umeme, so how did you work out to arrive at your ridiculous conclusions?
Hizo analysis unazotumia na ambazo anatumia Ndii tunaomba uziweke hapa tuzione, acha uongo. Ndii ndiye ambaye alisema hii SGR haiwezi kutengeneza faida. Tuwekee hizo analysis tuzioni kama ni kweli, ninajua huna hiyo analysis, lazima utapiga chenga.For your information; kuna analysis za economic viability kwa SGR kwa Ethiopia na Kenya. Hiyo ndio basis ya reference yangu. Hata Ndii alitumia the same analysis. Yours is more of fiction than the reality. Common sense will tell you this simple fact: hata kama mizigo yote inayopitia bandari ya Mombasa ingekuwa inasafirishwa bure kwa kutumia SGR isingewezekana 100% ya cargo isafirishwe kwa SGR maana sio kila mzigo ni west-bound.
And where do you get those percentages? Au ndio statistics za jiwe na Palamaganda?
Una uwezo mdogo sana wa kufikiri ndugu yangu mtanzania.Tangu lini akili iliyotrngeneza tatizo ikatumika kutengeneza tatizo?Vijana wa CCM nani kawaroga jamani!
1)Bila wewe kuleta evidence ya nauli ya ndege siwezi comment, Vile navyo jua ni kwamba nauli imerudi chini.Why ask me something I never suggested? Umeleta fiction wewe ya kushuka gharama za usafiri wa ndege baada ya Fastjet kuondoka.
Hana ushahidi wowote ule, kazi yake ni kupiga domo tu.1)Bila wewe kuleta evidence ya nauli ya ndege siwezi comment, Vile navyo jua ni kwamba nauli imerudi chini.
2) Leta mfano wa nchi za magaribi mnazo zienzi ambazo zimewaruhuru wanabiashara wawe na 97% control of emplyoment and 3/4 investment..
Mumezoea kukariri nadharia za wazungu na wao wenyewe hawazifuati
Ahaaa haaa haaa
Bro do not compare Japan na vitu vya hovyo.
In Kenya people are perishing because of food. No money to buy food. But that is not the case in Japan.
Wewe umeona la kiwanda tu? Don't be myopic; read the whole lot and come back if you still don't get the message.
By the way; hayo matatizo uliyoyaandika hapa Tanzania hayapo? Simple question; how do you compare the balance sheets of Kenya and Tanzania? Vinalingana?
1)Bila wewe kuleta evidence ya nauli ya ndege siwezi comment, Vile navyo jua ni kwamba nauli imerudi chini.
2) Leta mfano wa nchi za magaribi mnazo zienzi ambazo zimewaruhuru wanabiashara wawe na 97% control of emplyoment and 3/4 investment..
Mumezoea kukariri nadharia za wazungu na wao wenyewe hawazifuati
1)Bila wewe kuleta evidence ya nauli ya ndege siwezi comment, Vile navyo jua ni kwamba nauli imerudi chini.
2) Leta mfano wa nchi za magaribi mnazo zienzi ambazo zimewaruhuru wanabiashara wawe na 97% control of emplyoment and 3/4 investment..
Mumezoea kukariri nadharia za wazungu na wao wenyewe hawazifuati