SGR kubinafsishwa?

Angalieni na kingine kilichobaki muuze kabisa mle hizo hela ziieshe kabla ya Mungu hajaamua
 
Ila m naona ni bonge la idea,
Mbna barabaran kuna makampuni kibao,
Makampuni kwenye SGR yawe mengi, yalipe tu kiwango fulani serikalini kisha yapige kazi,

Hata wew mtoa uzi njoo na vichwa vyako uje upige kazi kwenye SGR, wakibaki serikali peke yao hatutatoboa
 
Kwani mbona ni jambo jema sana hilo mkuu? Reli inabaki yenu serekali ila matreni ya watu binafsi. Poa sana aisee.

Kunakuwa na makampuni 3 ya treni kwenda mwanza unaonaje jomba?

Nilitegemea ungeshauri na Tanesco, Dawasa hata na polisi ikibidi wabinafsishe tu
 
Hawa ndiyo aina ya wasomi tunaowategemea hapa hata hajafikilia nguvu ya kuwekeza kwenye Ujenzi wa hiyo reli , CCM ndiyo kwamba pumzi imekata au kujizima data kuliko pitiliza .
Ni Bora kupitisha vyuma vya zamani kuliko kumpa muwekezaji hiyo reli nchi hii kila kitu fursa aisee.
 
Ilani ya ccm 2020-2025 unasema itabinafsisha SGR?
Au walioko madarakani watabisha fedha Serikalini na kuingia bia kwenye SGR?
 
Say Hell to Ccm
 
At least nimejifunza kitu hapa
 
Umeangalia video lakin? Umeelewa walivyosema ?
Simply wanaifanya SGR kama barabara tu, anaetaka kuweka kichwa chake aweke, hata wew ukitaka kaweke,
Which is so good, itaua monopoly yote
 
Wabongo wakisikia neno mfanyabiashara au mwekezaji wanawaza wizi tu an 🤣🤣🤣
 
Kuna wakati niliandika hapa kwamba nina wasiwasi kuwa tunaweza kuja kushindwa kuendesha SGR kwa sababu ya kushindwa kuendesha BRT...

Waafrika tunafeli sana kwenye uendeshaji endelevu wa miradi...
 
Umeangalia video lakin? Umeelewa walivyosema ?
Simply wanaifanya SGR kama barabara tu, anaetaka kuweka kichwa chake aweke, hata wew ukitaka kaweke,
Which is so good, itaua monopoly yote
Haitaki Cheti kuelewa video Kaka.
Reli ni njia moja tu isipokuwa kwenye vituo ndiyo kuna Pacha zaidi ya moja sasa kila mmoja akiweka kichwa chake limekuwa game la nyoka hilo?
Wamekusudia kuigawa Kwa wamtakaye ni suala la muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…