peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Serikali ya Awamu ya sita Mungu anawaona!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ya Awamu ya sita mungu anawaon
Say Hell to CcmHawa ndiyo aina ya wasomi tunaowategemea hapa hata hajafikilia nguvu ya kuwekeza kwenye Ujenzi wa hiyo reli , CCM ndiyo kwamba pumzi imekata au kujizima data kuliko pitiliza .
Ni Bora kupitisha vyuma vya zamani kuliko kumpa muwekezaji hiyo reli nchi hii kila kitu fursa aisee.
At least nimejifunza kitu hapaIla m naona ni bonge la idea,
Mbna barabaran kuna makampuni kibao,
Makampuni kwenye SGR yawe mengi, yalipe tu kiwango fulani serikalini kisha yapige kazi,
Hata wew mtoa uzi njoo na vichwa vyako uje upige kazi kwenye SGR, wakibaki serikali peke yao hatutatoboa
Umeangalia video lakin? Umeelewa walivyosema ?Hawa ndiyo aina ya wasomi tunaowategemea hapa hata hajafikilia nguvu ya kuwekeza kwenye Ujenzi wa hiyo reli , CCM ndiyo kwamba pumzi imekata au kujizima data kuliko pitiliza .
Ni Bora kupitisha vyuma vya zamani kuliko kumpa muwekezaji hiyo reli nchi hii kila kitu fursa aisee.
Wabongo wakisikia neno mfanyabiashara au mwekezaji wanawaza wizi tu an 🤣🤣🤣Kwani mbona ni jambo jema sana hilo mkuu? Reli inabaki yenu serekali ila matreni ya watu binafsi. Poa sana aisee.
Kunakuwa na makampuni 3 ya treni kwenda mwanza unaonaje jomba?
Nilitegemea ungeshauri na Tanesco, Dawasa hata na polisi ikibidi wabinafsishe tu
Haitaki Cheti kuelewa video Kaka.Umeangalia video lakin? Umeelewa walivyosema ?
Simply wanaifanya SGR kama barabara tu, anaetaka kuweka kichwa chake aweke, hata wew ukitaka kaweke,
Which is so good, itaua monopoly yote
Speechless!Say Hell to Ccm