SGR: Kumbe Kenya ilifikiria iliponunua diesel

Mjenge railway ya umeme na mmalizie vinyesi vyote kuzalisha umeme unatosha....sisi hatuna haraka na electric
 
Najua Roho inakuuma Sana. Hivi unajua SGR ya TZ itakuwa nauwezo wakubeba mzigo mara mbili kuliko ya kwenu??
 
Morocco has an installed capacity of 8000 MW ,it plans to add 6000 mW before the bullet train starts operations that's 14000 mW and the rail covers 300km....Tanzania has instaled capacity 1350.....planned rail 800 km....ile kukwama watu watakwama msitake jua
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi unajua kuwa Tanzania SGR itakuwa na uwezo wakubeba mzigo Mara mbili(twice) compared to the Kenyan one. Tanzania SGR train will handle 10,000 tonnes per trip while the Kenyan SGR train can handle 4,000 tonnes per trip. 😀😀
Tanzania

Kenya
 
hehehe,jomba jengeni hako kasgr ka kichani yetu tiyari inachana mbuga na ni heavy duty double stacked..hiyo yenu sijui niaje nitasubiri inshallah ikiisha ndio nitaona uwezo wake..
 
hehehe,jomba jengeni hako kasgr ka kichani yetu tiyari inachana mbuga na ni heavy duty double stacked..hiyo yenu sijui niaje nitasubiri inshallah ikiisha ndio nitaona uwezo wake..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Inaumiza lakini.
 
Unashibokea tu hujui unachokisema... Hio inaitwa traction... Reli ya Stima inanguvu ya kuvuta mzigo Kuliko ya diesel.... Hii ndo mojawepo ya sababu kenya ilichagua diesel alafu ikanunua Terni za 4000tonnes. That means Mizigo ya asubuhi pale port ina uwezo wa kujaza Treni na ikaomdoka asubuhi, mzigo wa mchana unaenda mchana, wa jioni ..... Lakini Tz, Italazimika kungoja Mizigo ya asubuhi hadi jioni ndo ipakie Treni moja
 
In this case, sisi tunajenga ya umeme ili ikikwama nyie mpate cha kuongea.
Au hamtaki kuongea tena?
 
hehehe,jomba jengeni hako kasgr ka kichani yetu tiyari inachana mbuga na ni heavy duty double stacked..hiyo yenu sijui niaje nitasubiri inshallah ikiisha ndio nitaona uwezo wake..
Kwanza sisi hatujengewi na contractors kutoka China. They are from Turkey and Portugal our contractors
Even us we have ordered heavy duty double stacked.
 
Nyinyi wakenya mnajidai mna akili sana lakini inakuwaje mbashindwa kujua kuwa hata treni ya diesel inaweza kutumia SGR ya umeme?
Hii inakuwa na overhead cables ya umeme inajiunga overhead ya diesel haijiungi na huo umeme inachoma tu diesel yake.
Hata Ulaya wanatumia za umeme na za diesel pamoja.
 
Mahesabu yako yakufikilia. Jua sasa tunapanua bandari ya Dar es salaam na ujenzi unaendelea
Jua tuna Rwanda, Burundi, Congo Uganda. Pia Tanzania ni nchi kubwa. Twice to Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…