SGR: Kumbe Kenya ilifikiria iliponunua diesel

Mjenge railway ya umeme na mmalizie vinyesi vyote kuzalisha umeme unatosha....sisi hatuna haraka na electric
 
Kenya imekua ya kwanza kujaribu mambo mengi sana bara hili, sis hua hatuna uoga huo kabisa, feasibility study ya phase 1 ilikamilika 2013, na hapo ndo iliamuliwa hatuna uwezo wa umeme.... feasibility study ya phase 2 ikafanyika 2015, bado ikasemekana hivyo ......

technologia ya electric rail is as old as diesel-electic rail ambayo kenya inatumia, sasa unafananisha first rocket ever done by human na electric train ambayo inatumika nci nyingi sana, eti usiogope kujaribu, hamjui kujaribu ni nini, kama hauna uwezo hauna uwezo, kama tungelazimisha stima alafu reli iwe inakwama kwama 2 years after launching , wewe na wenzio mngekuja hapa na kujifanya wataalam na kuicheka kenya kwa kujifanya majigambo watu wa kupenda sifa kwa kuchagua reli ya umeme wakati hatuna uwezo wa kusupport --Case point tumekua na two nationwide blackouts since 2017, one caused by a feaking monkey... The only thing I dont like about kenya SGR ni interior finishing ya persenger coaches, lakini otherwise I am glad with our SGR
Najua Roho inakuuma Sana. Hivi unajua SGR ya TZ itakuwa nauwezo wakubeba mzigo mara mbili kuliko ya kwenu??
 
Morocco has an installed capacity of 8000 MW ,it plans to add 6000 mW before the bullet train starts operations that's 14000 mW and the rail covers 300km....Tanzania has instaled capacity 1350.....planned rail 800 km....ile kukwama watu watakwama msitake jua
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kenya imekua ya kwanza kujaribu mambo mengi sana bara hili, sis hua hatuna uoga huo kabisa, feasibility study ya phase 1 ilikamilika 2013, na hapo ndo iliamuliwa hatuna uwezo wa umeme.... feasibility study ya phase 2 ikafanyika 2015, bado ikasemekana hivyo ......

technologia ya electric rail is as old as diesel-electic rail ambayo kenya inatumia, sasa unafananisha first rocket ever done by human na electric train ambayo inatumika nci nyingi sana, eti usiogope kujaribu, hamjui kujaribu ni nini, kama hauna uwezo hauna uwezo, kama tungelazimisha stima alafu reli iwe inakwama kwama 2 years after launching , wewe na wenzio mngekuja hapa na kujifanya wataalam na kuicheka kenya kwa kujifanya majigambo watu wa kupenda sifa kwa kuchagua reli ya umeme wakati hatuna uwezo wa kusupport --Case point tumekua na two nationwide blackouts since 2017, one caused by a feaking monkey... The only thing I dont like about kenya SGR ni interior finishing ya persenger coaches, lakini otherwise I am glad with our SGR
Hivi unajua kuwa Tanzania SGR itakuwa na uwezo wakubeba mzigo Mara mbili(twice) compared to the Kenyan one. Tanzania SGR train will handle 10,000 tonnes per trip while the Kenyan SGR train can handle 4,000 tonnes per trip. 😀😀
Tanzania
Screenshot_20180126-181732.png
Screenshot_20180126-181913.png

Kenya
Screenshot_20180126-182300.png
 
Hivi unajua kuwa Tanzania SGR itakuwa make uwezo wakubeba mzigo Mara mbili(twice) compared to the Kenyan one. Tanzania SGR train will handle 10,000 tonnes per trip while the Kenyan SGR train can handle 4,000 tonnes per trip. 😀😀
Tanzania
View attachment 684959 View attachment 684960
Kenya
View attachment 684961
hehehe,jomba jengeni hako kasgr ka kichani yetu tiyari inachana mbuga na ni heavy duty double stacked..hiyo yenu sijui niaje nitasubiri inshallah ikiisha ndio nitaona uwezo wake..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Inaumiza lakini.
Hivi unajua kuwa Tanzania SGR itakuwa na uwezo wakubeba mzigo Mara mbili(twice) compared to the Kenyan one. Tanzania SGR train will handle 10,000 tonnes per trip while the Kenyan SGR train can handle 4,000 tonnes per trip. 😀😀
Tanzania
View attachment 684959 View attachment 684960
Kenya
View attachment 684961
 
Hivi unajua kuwa Tanzania SGR itakuwa na uwezo wakubeba mzigo Mara mbili(twice) compared to the Kenyan one. Tanzania SGR train will handle 10,000 tonnes per trip while the Kenyan SGR train can handle 4,000 tonnes per trip. 😀😀
Tanzania
View attachment 684959 View attachment 684960
Kenya
View attachment 684961
Unashibokea tu hujui unachokisema... Hio inaitwa traction... Reli ya Stima inanguvu ya kuvuta mzigo Kuliko ya diesel.... Hii ndo mojawepo ya sababu kenya ilichagua diesel alafu ikanunua Terni za 4000tonnes. That means Mizigo ya asubuhi pale port ina uwezo wa kujaza Treni na ikaomdoka asubuhi, mzigo wa mchana unaenda mchana, wa jioni ..... Lakini Tz, Italazimika kungoja Mizigo ya asubuhi hadi jioni ndo ipakie Treni moja
 
Kenya imekua ya kwanza kujaribu mambo mengi sana bara hili, sis hua hatuna uoga huo kabisa, feasibility study ya phase 1 ilikamilika 2013, na hapo ndo iliamuliwa hatuna uwezo wa umeme.... feasibility study ya phase 2 ikafanyika 2015, bado ikasemekana hivyo ......

technologia ya electric rail is as old as diesel-electic rail ambayo kenya inatumia, sasa unafananisha first rocket ever done by human na electric train ambayo inatumika nci nyingi sana, eti usiogope kujaribu, hamjui kujaribu ni nini, kama hauna uwezo hauna uwezo, kama tungelazimisha stima alafu reli iwe inakwama kwama 2 years after launching , wewe na wenzio mngekuja hapa na kujifanya wataalam na kuicheka kenya kwa kujifanya majigambo watu wa kupenda sifa kwa kuchagua reli ya umeme wakati hatuna uwezo wa kusupport --Case point tumekua na two nationwide blackouts since 2017, one caused by a feaking monkey... The only thing I dont like about kenya SGR ni interior finishing ya persenger coaches, lakini otherwise I am glad with our SGR
In this case, sisi tunajenga ya umeme ili ikikwama nyie mpate cha kuongea.
Au hamtaki kuongea tena?
 
hehehe,jomba jengeni hako kasgr ka kichani yetu tiyari inachana mbuga na ni heavy duty double stacked..hiyo yenu sijui niaje nitasubiri inshallah ikiisha ndio nitaona uwezo wake..
Kwanza sisi hatujengewi na contractors kutoka China. They are from Turkey and Portugal our contractors
Even us we have ordered heavy duty double stacked.
 
Kenya imekua ya kwanza kujaribu mambo mengi sana bara hili, sis hua hatuna uoga huo kabisa, feasibility study ya phase 1 ilikamilika 2013, na hapo ndo iliamuliwa hatuna uwezo wa umeme.... feasibility study ya phase 2 ikafanyika 2015, bado ikasemekana hivyo ......

technologia ya electric rail is as old as diesel-electic rail ambayo kenya inatumia, sasa unafananisha first rocket ever done by human na electric train ambayo inatumika nci nyingi sana, eti usiogope kujaribu, hamjui kujaribu ni nini, kama hauna uwezo hauna uwezo, kama tungelazimisha stima alafu reli iwe inakwama kwama 2 years after launching , wewe na wenzio mngekuja hapa na kujifanya wataalam na kuicheka kenya kwa kujifanya majigambo watu wa kupenda sifa kwa kuchagua reli ya umeme wakati hatuna uwezo wa kusupport --Case point tumekua na two nationwide blackouts since 2017, one caused by a feaking monkey... The only thing I dont like about kenya SGR ni interior finishing ya persenger coaches, lakini otherwise I am glad with our SGR
Nyinyi wakenya mnajidai mna akili sana lakini inakuwaje mbashindwa kujua kuwa hata treni ya diesel inaweza kutumia SGR ya umeme?
Hii inakuwa na overhead cables ya umeme inajiunga overhead ya diesel haijiungi na huo umeme inachoma tu diesel yake.
Hata Ulaya wanatumia za umeme na za diesel pamoja.
 
Mahesabu yako yakufikilia. Jua sasa tunapanua bandari ya Dar es salaam na ujenzi unaendelea
Jua tuna Rwanda, Burundi, Congo Uganda. Pia Tanzania ni nchi kubwa. Twice to Kenya

Back
Top Bottom