SGR: Kumbe Kenya ilifikiria iliponunua diesel

Hivi unajua kuwa Tanzania SGR itakuwa na uwezo wakubeba mzigo Mara mbili(twice) compared to the Kenyan one. Tanzania SGR train will handle 10,000 tonnes per trip while the Kenyan SGR train can handle 4,000 tonnes per trip. 😀😀
Tanzania
View attachment 684959 View attachment 684960
Kenya
View attachment 684961
SGR ya tanzania ina uwezo wa kubeba takriban tani milioni 17 kwa mwaka ilhali ya kenya ina uwezo wa kubeba hadi tani milioni 35 sasa hata ubebe tani 30,000 kwa siku kwa mpigo utakuwa unachezea tani milioni 17 tu kwa mwaka, haitokuwa jambo la busara kupitisha kwa kuwa reli yenyewe imejengwa kuhandle 17m tonnes a year
 
Morocco has an installed capacity of 8000 MW ,it plans to add 6000 mW before the bullet train starts operations that's 14000 mW and the rail covers 300km....Tanzania has instaled capacity 1350.....planned rail 800 km....ile kukwama watu watakwama msitake jua
Planned kilometers zetu za sgr ni 2460 we unumwa kweli Tanzania is next level joh
 
Unashibokea tu hujui unachokisema... Hio inaitwa traction... Reli ya Stima inanguvu ya kuvuta mzigo Kuliko ya diesel.... Hii ndo mojawepo ya sababu kenya ilichagua diesel alafu ikanunua Terni za 4000tonnes. That means Mizigo ya asubuhi pale port ina uwezo wa kujaza Treni na ikaomdoka asubuhi, mzigo wa mchana unaenda mchana, wa jioni ..... Lakini Tz, Italazimika kungoja Mizigo ya asubuhi hadi jioni ndo ipakie Treni moja
Kwani ikiwa na capacity ya 10000 tonnes ndio lazima upakie 10000 tonnes, ukiweka 5000 tonnes itagoma kwenda?
 
SGR ya tanzania ina uwezo wa kubeba takriban tani milioni 17 kwa mwaka ilhali ya kenya ina uwezo wa kubeba hadi tani milioni 35 sasa hata ubebe tani 30,000 kwa siku kwa mpigo utakuwa unachezea tani milioni 17 tu kwa mwaka, haitokuwa jambo la busara kupitisha kwa kuwa reli yenyewe imejengwa kuhandle 17m tonnes a year
Hivi ndivyo mnavyojidanganya mkikosa unga?? Utasubiri sana train yetu inabeba mara mbili ya yenu per day na mara 3.5 ya yenu per year.
 
Unashibokea tu hujui unachokisema... Hio inaitwa traction... Reli ya Stima inanguvu ya kuvuta mzigo Kuliko ya diesel.... Hii ndo mojawepo ya sababu kenya ilichagua diesel alafu ikanunua Terni za 4000tonnes. That means Mizigo ya asubuhi pale port ina uwezo wa kujaza Treni na ikaomdoka asubuhi, mzigo wa mchana unaenda mchana, wa jioni ..... Lakini Tz, Italazimika kungoja Mizigo ya asubuhi hadi jioni ndo ipakie Treni moja

halafu ya tanzania itawahi kufika za kenya 3 bado ziko njiani teh teh,
 
Sasa Me binafsi sio mchaga ni mnyamwezi,, Ila huwa najuta kwann sijazaliwa uchagani au unyakyusani au kwa wahaya, , hayo ni makabila ya watu wanaojielewa na wenye upeo, na wanachukia umaskini, tofauti na wewe mndengereko ambae kwenye nyumba yako ya nyasi umefunga mbendera wa CCM hadi nyumba inataka kuanguka kwa kuzidiwa na uzito wa bendera
 
Morocco has an installed capacity of 8000 MW ,it plans to add 6000 mW before the bullet train starts operations that's 14000 mW and the rail covers 300km....Tanzania has instaled capacity 1350.....planned rail 800 km....ile kukwama watu watakwama msitake jua
[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom