SGR Nairobi-Naivasha 70% mbele kwa mbele

Hapa bongo tunaweka vizimba na kuzindua kila siku, makandarasi tumeshindwa hata kuwalipa petroli hadi wameondoka kazi ni kumsifia tu Jiwe. Hii Tanzania yetu bado tuko kwenye 90s wenzetu wakiwa 2018...dah dah! tumelaaniwa kweri.
Haha umeitoa tu kama Watanzania
 
Wamekula wameshiba. Unataka tufanye nini?
 
Wewe unajua nini kuhusu chinese? Hata hio lugha huifahamu hivi leo umekuwa chinese expert? Kha!
 
Only the strong will survive in these times,
only YOURSELF CAN FREE YOUR MIND,
KEEP YOR FOCUS AND DONT WASTE TIME,
LEAD THE BEAST AND LLEAVE IT BEHIND,
Naked truth...kenyans wanajitoa ufahamu ila wanalijua hilo
Mikikamilisha yenu hata mita moja tafadhali muwe wakarimu kwa kututaga ili tuweze kufanya comparisons ila kwa sasa '' makandarasi tumeshindwa hata kuwalipa petroli hadi wameondoka kazi ni kumsifia tu Jiwe''.
 
Yeah Yeah Yeah.. Bla Blah Blaaah

It's ours. Not yours. Build yours first before giving us tips and lessons.
if it's yours!how comes your govt spends the billions of dollars every months to pay those Chinese!!
use your head to think!!otherwise it's gonna take you the years for it to be yours..
 
Kama hiyo njia ya mtambo wa gongo wenu wa diesel wenye mwendokasi 80 km/h ni class 1 ama A unayosema, hii ni class gani? Aisee ficha aibu maana mmetengenezwa!

if it's yours!how comes your govt spends the billions of dollars every months to pay those Chinese!!
use your head to think!!otherwise it's gonna take you the years for it to be yours..
That moment your stalled SGR transports even a grain of sand, please tag me :πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜›
 
Kama hiyo njia ya mtambo wa gongo wenu wa diesel wenye mwendokasi 80 km/h ni class 1 ama A unayosema, hii ni class gani? Aisee ficha aibu maana mmetengenezwa!

Stop showing us Dreams and show us real work on the ground.... Your thing will not be any better than Nigeria's.Sisi tuko hapa wote and we shall confirm your fears......
 
That moment your stalled SGR transports even a grain of sand, please tag me :πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜›

The day their stalled Wooden Rail transports chicken to Kariokor..... Please wake me up
 
Depay, Hii ina maana using a car is shorter by 20 km n at a speed of coold 100 km/h it takes an exactly 1 hr the same time SGR for passengers takes to travel 120 km but at 120 km/h. But the funny thing is the true speed for passengers' diesel SGR train is 110km/h. Meaning no point one to even attempt to use that medical diesel SGR train. Aisee mchina nomaaa! πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…