SGR Nairobi-Naivasha 70% mbele kwa mbele

Mchina mjanja sana eti sijui "Major Main Super Bridge"!! Lol.. jamaa anajua kula na vipofu. Wajinga ndiyo waliwao
 
Congratulation for seeing this, most of them doesn't know what the future holds.
 
Misukari Yanatoka Kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji379][emoji95][emoji379]
Hapa bongo tunaweka vizimba na kuzindua kila siku, makandarasi tumeshindwa hata kuwalipa petroli hadi wameondoka kazi ni kumsifia tu Jiwe. Hii Tanzania yetu bado tuko kwenye 90s wenzetu wakiwa 2018...dah dah! tumelaaniwa kweri.
 
The SGR contributes 1.5% of Kenya's GDP. Not China's [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ugua pole pole.
 
You are so 1980! We are in 2018 ni mwendo wa videos tu au Safaricom data haishikiki!
Weka video basi tena aeriel ya SGR pamoja na station zake ambazo ziko 28% complete kama mlivyosema ambayo ni about 500km out of 1800km?
 
Weka video basi tena aeriel ya SGR pamoja na station zake ambazo ziko 28% complete kama mlivyosema ambayo ni about 500km out of 1800km?
You sound like a layman! Au bado upo home mtoto wako wa class 2 amekusaidia ku reply
 
Si uende kwenye SGR TANZANIA UPDATES uzi upo active humuhumu. maana kule Mmepoteaa kabisaaa.
Weka video basi tena aeriel ya SGR pamoja na station zake ambazo ziko 28% complete kama mlivyosema ambayo ni about 500km out of 1800km?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…