Na SGR ya Mwanza imesitishwa huko....
Acha tuone watabe wa kununua vitu kujaza ndani wakisubiri wengine watoke wawapambanie watakua wapi 3 years down the line.
Umbwa kabisa, kama kuna mtu anajidanganya the future is bright bila overthrow ya CCM basi anatumia kinyesi kufikiri.
NA BADO, UZURI UWE MPENDA AMANI AU HAKI, FOR AS LONG AS HAUPO KWENYE HIGH TABLE YA KEKI YA TAIFA NA SIO WALAU $ MILLIONAIRE, KUUMANA NI SWALA LA MUDA TU. KILA MTU ATALIA KWA MUDA WAKE