Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la nchi yangu kila jambo linakua politicised, sasa hapo huo ni mradi wa chama au nchi kwa jumla, bila kuzingatia vyama.
Hapa kijijini kwetu hiyo tunaiita "kambeeni"!Naamini kwenu wa mjini mnaita kampeni in the early dew.Tatizo la nchi yangu kila jambo linakua politicised, sasa hapo huo ni mradi wa chama au nchi kwa jumla, bila kuzingatia vyama.