SGR train prices to Mombasa finally released by Transport Ministry

SGR train prices to Mombasa finally released by Transport Ministry

I am not surprised by ur comments...it is the jealousy that Tz has always had on Ke...you forget that we are the ones with the trains while u have nothing to show for it....as i said, build the rail first then come here we discuss...for now, just go back to these ones.ama kweli nyani haoni kundule
View attachment 507253

Kwa akili yako
hii na hiyo ya mchina vinatofauti gani!!
Hii inapita Reli ya 1905
Yenu inapita Reli ya 2016!!
Huoni Aibu!
 
Hizi ni official prices za abiria...for the first six months of operation...I think the thread clearly states this...later, the prices will be adjusted to meet market demands...did you see this hapo juu???? ama ni kupayuka tu...Cargo hata haijatajwa pale juu sijui una washwa na nini?

Ndiyo maana nimeuliza kama kuna Cargo itasafirishwa na hiyo treni, kwa maana Cargo ndiyo njia pekee unayoweza kufinance big infrastructure kama hiyo kwa faida, lkn kama hakuna cargo basi ina maana Serikali ya Kenya ndiyo itakuwa inafinance hiyo project milele, kwa maana nyingne haitaweza kujiendesha!
 
Kwa akili yako
hii na hiyo ya mchina vinatofauti gani!!
Hii inapita Reli ya 1905
Yenu inapita Reli ya 2016!!
Huoni Aibu!
hehe....aibu gani...tuna measure the effects it will have on the economy...how transport fares will go down...okay niambie, mtu akipanda treni ya sura mbaya inayo travel kwa speed ya 120Km/hr na mwingine apande ile treni ya sura nzuri inayo travel kwa speed hiyo hiyo ya 120Km/hr...tofauti gani? ama huyu wa treni nzuri atafika kwanza?? tumia akili bwana...wacha upumbavu...dont be petty....nitamalizia kwa kusema, jengeni yenu kwanza ile nzuri Kabisa! kisha uje hapa tudiscuss...kwa sasa...hamna chochote...wacha South Africa na Morocco watucheke lakini sio nyie ambaye hamna chochote...
nitakupa mfano huu...ukishindwa kuelewa hili, basi sijui utaelewa lipi...the red car is the most expensive car ever sold...the white car is only $200,000...the white car is faster than the red car, and most importantly it is more beautiful than the red car....but the red one is the most expensive... why? my point is that looks dont matter...
featured250gto-565f30281dfc3.jpg

2015-acura-nsx-3.jpg
 
Ndiyo maana nimeuliza kama kuna Cargo itasafirishwa na hiyo treni, kwa maana Cargo ndiyo njia pekee unayoweza kufinance big infrastructure kama hiyo kwa faida, lkn kama hakuna cargo basi ina maana Serikali ya Kenya ndiyo itakuwa inafinance hiyo project milele, kwa maana nyingne haitaweza kujiendesha!
kweli...prices zile ziko chini kwa sababu pia deni tutafaa kulipa ila prices zile kama nilivyosema na nikarudia, ni za the first six mnths...za kuvuta wateja! kama umesoma economics utaelewa hili...tukija kwa Cargo tutasubiri Ministry of Transport watupe taarifa kamili...kumbuka bado reli haija fika Uganda...Kenya inataka sana kusafirisha Cargo za Uganda na pengine South Sudan and Rwanda...hapo ndio kuna pesa ukilinganisha na biashara ya ndani kwa ndani...hapo ndio tutapata pesa za ku finance the Chinese loan through FOREX..
 
Jay456watt

Well this is one beautiful thing.. Congrats again majirani.. that Nairobi station is like airport, even JKIA is not this dope, the trains can be changed anytime that is not a problem, muhimu ni kuhakikisha miji mingi inaungwanishwa na hiyo train.. for example wangefikiria kuweka bus terminal near the station ili watu waweze kubadilisha kutoka kwenye bus kwenda kwenye treni.. mtu akiwa anatoka north anaenda Mombasa kupitia Nai aje na bus then abadilishe aingie kwenye treni.. hii italeta wateja wengi sana..

Can't wait pale all railways in East Africa ziwe zimeungana.. watu wasafiri from Mwanza to Mombasa kwa treni, Nairobi-Dar via Voi kwa treni.. it will be great.
 
Du mchina noma alitaka kula ksh. 4500 si kama 96000 du kumbe mabasi yataendelea kuwapo wakati luxury bus haifiki hata 2000
 
exactly...atleast kuna mtu anaelewa..
 
Du mchina noma alitaka kula ksh. 4500 si kama 96000 du kumbe mabasi yataendelea kuwapo wakati luxury bus haifiki hata 2000
ndio, lakini kati ya basi na treni, gani inaenda kwa mwendo wa kasi? pia, ni gani iko more safe?
 
Watafinance vipi hiyo infrastructure ya gharama kubwa hivyo kama hakuna cargo? Hiyo ni nauli ndogo sana kuweza kutengeneza faida, ni lazima kuwe na cargo vinginevyo ni white elephant project!
Haijaona inland Container mpya hapo kwa picha iliyojengwa Nairobi????? iko na capacity ya 480,000TEU! (Hio ni nusu ya Dar!!!!)
lengo kuu la hii reli yetu ni cargo, ndo maana treni za abiria ni tano pekeyake, lakini za mizigo ni 49!!!!... nina uhakika hapo hio ya Dar-Moro hamtanunua hata treni zaidi ya 30... ethiopia walinunua 32 pekee
 
ndio, lakini kati ya basi na treni, gani inaenda kwa mwendo wa kasi? pia, ni gani iko more safe?
Train iko safe lakin si unajua chumi zetu hazijaruhusu, jua majority income per month haizid hata 10000 so kiusalama ni safe lakini kipesa bad naona watapanda wenye nazo. Ni kweli nimeamini hata tufanyeje train za abiria haziwez kujiendesha unless kuwepo na cargo.
 
kweli...cargo ndio ita drive this project...the project was built for cargo..passenger ferrying was just an extra or bonus...there are only 5 passenger trains...there are more than 50 cargo trains...
 
Haijaona inland Container mpya hapo kwa picha iliyojengwa Nairobi????? iko na capacity ya 480,000TEU! (Hio ni nusu ya Dar!!!!)
lengo kuu la hii reli yetu ni cargo, ndo maana treni za abiria ni tano pekeyake, lakini za mizigo ni 49!!!!... nina uhakika hapo hio ya Dar-Moro hamtanunua hata treni zaidi ya 30... ethiopia walinunu a 32 pekee
Hakuna train za abiria zinazoenda kwa faid zaid ya japan nyingine zote zinategemea cargo hoping hii project imewekwa kuvuta watalii kwa muono wangu lakin kama ni faida itabid wacharge almost usd 100 kwa standard
 
kweli...cargo ndio ita drive this project...the project was built for cargo..passenger ferrying was just an extra or bonus...there are only 5 passenger trains...there are more than 50 cargo trains...
Good for you i hope nitakuja izindua inaanza lini
 
kweli...cargo ndio ita drive this project...the project was built for cargo..passenger ferrying was just an extra or bonus...there are only 5 passenger trains...there are more than 50 cargo trains...
I hope mtamaliza ili kuconnect Uganda.. ila hawa marais wetu wakae chini kuweka mkakati mpya wa intra-east and central African trade.. maana huku ndo kwenye mizigo.. kama ikiwezekana tutoe mizigo Kinshasa na brazaville mpaka Dar au Mombasa..

Tujipongeze sana East Africa tunapiga hatua kubwa ukilinganisha na nchi nyingine hapa Africa.
 
Haijaona inland Container mpya hapo kwa picha iliyojengwa Nairobi????? iko na capacity ya 480,000TEU! (Hio ni nusu ya Dar!!!!)
lengo kuu la hii reli yetu ni cargo, ndo maana treni za abiria ni tano pekeyake, lakini za mizigo ni 49!!!!... nina uhakika hapo hio ya Dar-Moro hamtanunua hata treni zaidi ya 30... ethiopia walinunua 32 pekee
Acha ubishi wa kijinga,una uhakika?hakikisha basi.
 
t
Sawa lkn Je hiyo Treni itasafirisha Cargo pia au ni abiria wa kulipa hiyo sh 10 000 tu? isitoshe sidhani hata kama itaweza kushinada na Mabasi, bado wakenya wengi watapanda Mabasi na hiyo itaishia kuwa treni ya Holliday ambao ni kiasi kidogo sana kuweza kurun big project kama hiyo, hivyo narudi kwenye swali langu Je, kuna Cargo pia au ni abiria wa 10 000 tu?
The main point for the kenya sgr was to haul cargo, that's why we have over 45 DF8B train freight models
 
Back
Top Bottom