Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Katika usafiri wa Sgr, umelenga watu wanafanya kazi maofisini tu.
Kwa mfano mtu kama fundi Umeme au Fundi makenika Hawa watu wanavifaa vya chuma au Mafundi Bomba.
Ukifika katika ukaguzi wanazuia Vifaa. swali Je wanaopanda Sgr ni watu wa Ofisini peke, pia katika mabehewa Kuna Abiria na Wahudumu wa Behewa usika, kuzua Vifaa vya Kazi vya mtu ni kumkosha mtu, Ridhiki yake uko aendako.
Kuna mtu Leo hii Muda hii, wamezua Vifaa vyake na amesafiri ataenda nunu Vifaa vingine aendako Tayari ni hasara kwa yule Abiria.
Uandaliwe mfumo rasimi kwa watu ambao ni Mafundi ambao kazi zao zinatumia Vifaa Ili akiamua kusafiri kwa sgr afike na kuwsilisha Vifaa vyake nakue na Mfumo kusafirisha Vifaa kwa Kila Behewa. Mfano mtu ana supana zake au playse au Testa.
Ijulikane anatakiwa kusafiri kwa mfumo upo sio kuzuiana au kutaka pesa kwa Vifaa ulivyobeba, wanatengeneza mfumo wa Rushwa.
Kwenye Behewa Kuna kua na Abiria mtu anapata wapi mda kufungua kitu akiwa anatazamwa na abiria na pia Kuna wahudumu wa behewa usika.
Katika behewa Kuna camera, za ulinzi na istoshe mizigo inamaa juu. Je mtu kusafiri na Vifaa vya kazi kaika SGR kwa Mafundi utaratibu ukoje.